Ni sahihi kumtaarifu mpenzi wako kuwa una zawadi kutoka kwa ex?

Sasa ulimkuta alishadukuliwa, ulijua kaliwa na MALAIKA?🤣🤣😆😆

UKWELI wabongo tupo nyuma sana.

Ukinunua gari used ujue lilisha kazwa kazwa mara nyingi na fundi😂😂😂
Eeeeeh,maneno mbofu kabisaaa🤣🤣🤣
 
Waafrica mna complacate sana mambo... mimi nachojali kwa wakati huo ni nakula nyau yake basi awe na zawadi za ex na makandokando yake atajua mwenyewe
 
Eeeeeh,maneno mbofu kabisaaa🤣🤣🤣
Ukweli ndio huo, siku hizi binti akifika 22yrs ashaliwa sana yani.
Kwa taarifa ya wanaume wote humu.
Ukiona binti singo au hajaolewa anaposti msosi mkali ujue baada ya kula kaliwa🤣🤣🤣🤣

Akiposti location kali ujue mwamba ndio kamfotoa.
Yaani kibongo bongo binti hadi aolewa katumika sana tena katumiwa na wazee rika la babako.

5% angalau wao walijitunza😁😁😁
Mkichukia niueni
Ushimen ERoni National Anthem
 
Mkichujia niueni
Ushimen ERoni National Anthem
Sahihi kabisa mkuu,
Ukiona locations ujue kuna kidume pembeni, hili nimeliobserve sana tu.

Acha wachapwe, tupo humo humo tunanunua indirect.
 
Ndio maana mimi nilisha sema kataa ndoa...🤨
Ndoa ni uhujumu...☹️
 
Ukweli ndio huo, siku hizi binti akifika 22yrs ashaliwa sana yani.
Kwa taarifa ya wanaume wote humu.
Ukiona binti singo au hajaolewa anaposti msosi mkali ujue baada ya kula kaliwa🤣🤣🤣🤣

Akiposti location kali ujue mwamba ndio kamfotoa.
Yaani kibongo bongo binti hadi aolewa katumika sana tena katumiwa na wazee rika la babako.

5% angalau wao walijitunza😁😁😁
Mkichujia niueni
Ushimen ERoni National Anthem
😂😂😂
 
Sahihi kabisa mkuu,
Ukiona locations ujue kuna kidume pembeni, hili nimeliobserve sana tu.

Acha wachapwe, tupo humo humo tunanunua indirect.
Chapa chapa mkuu kwani ukiremba bado unasingiziwa🤣🤣🤣
 
Ujinga tu ex wangu naona wanajuta kunifahamu sio Kwa dharau hizi 😀😀
Suala la muda yaani utalainika tu.

Wengine tuliishi maisha ya kitawa lkn wapi...dunia ni zaidi ya Havard🤣🤣🤣
 
Ukweli ndio huo, siku hizi binti akifika 22yrs ashaliwa sana yani.
Kwa taarifa ya wanaume wote humu.
Ukiona binti singo au hajaolewa anaposti msosi mkali ujue baada ya kula kaliwa🤣🤣🤣🤣

Akiposti location kali ujue mwamba ndio kamfotoa.
Yaani kibongo bongo binti hadi aolewa katumika sana tena katumiwa na wazee rika la babako.

5% angalau wao walijitunza😁😁😁
Mkichukia niueni
Ushimen ERoni National Anthem
Kwa hiyo walioolewa wakipost ndio wanakuwa wamejinunulia au wamenunuliwa na waume zao?😅😅😅😅
Dah ndio maana sipostigi dinner nikiwa Karambezi😁😁
 
Suala la muda yaani utalainika tu.

Wengine tuliishi maisha ya kitawa lkn wapi...dunia ni zaidi ya Havard🤣🤣🤣
😀😀😀Wala siishi kitawa ila kumrudia mtu Tumeachana naonaga kupoteza mda wanaume wapo wengi matoleo mapya😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom