Ni sahihi kumtaarifu mpenzi wako kuwa una zawadi kutoka kwa ex?

🙁🙁🙁 .. huu ni ukweli mchungu sana, tuishi nao tu mkuu, maana hakuna namna maisha ya sasa hivi watu hawaoni tena thamani ya kuficha tupu zao.. kuna ile mtu anatembea mahala anakuwa kama yupo uchi tu 😅😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…