Ni sahihi kumuacha mpenzi wako kwasababu ameku-cheat?

Ni sahihi kumuacha mpenzi wako kwasababu ameku-cheat?

ukiona imefika stage ya kuchunguzana basi elewa hapo hakuna mapenzi tena bali ni mateso.

Sifa moja ya mapenzi ni amani ya nafsi, ukiona una haja ya kuchunguza basi ina maanisha huna amani ya nafsi. Hapo lililo la busara na kukusanya moyo wako na kuondoka, kutosibiri maradhi.

Mapenzi hayapaswi kuwa utumwa, mapenzi yanapaswa yawe sababu ya faraja; hisia yeyote kinyume na hapo unapaswa uanze kutafakari mustakabali wako/wenu.
Mkuu sio kila mtu akiwa kwenye mahusiano ni kwa sababu ya mapenz ,kuna wengne tunataka kuendeleza kizazi tu.
 
duh pole,

ndio maana naogopa mahusiano, kusaliti/kusalitiwa huja na majuto makubwa, inapelekea kupata mawazo.... sawa unaweza kusamehe ila uhakika kwamba hatokusaliti tena unautoa wapi??

kiufupi kama unakosa amani piga chini.... mi naona kusamehe ina hasara kuliko faida....
 
Ukiona mwanamke kakusaliti, jua wazi kabisa kampenda huyo kuliko wewe, hivyo kakudharau na amekuchukia sana.

Mwanamke akisha saliti hasamehewi kabisa. Piga chini haijalishi utaumia kiasi gani lazima utazoea tuu.

Na huu ndio mbadala wa adhabu ya kuwapiga mawe mpaka kufa.

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
duh pole,

ndio maana naogopa mahusiano, kusaliti/kusalitiwa huja na majuto makubwa, inapelekea kupata mawazo.... sawa unaweza kusamehe ila uhakika kwamba hatokusaliti tena unautoa wapi??

kiufupi kama unakosa amani piga chini.... mi naona kusamehe ina hasara kuliko faida....
Ilishapita, asante.
 
Inategemea kama anacheat kwa dharau namuacha ila kama nimefuma bahati mbay sijui kwa kweli maana siku hizi it rains everywhere
 
Kama unampenda na anakujali Kwa ushauri wangu endelea nae tu ila unatakiwa uwe mkali Ili asikuonyeshe Live Live
Maana kama ingekuwa inawezekana kuishi na mpenzi wako wa Kike bila ya Cheat basi ningekuwa Mimi ila kama Mimi nimeshindwa naamini hakuna mwanamume katika nchi hii atayeweza
 
duh pole,

ndio maana naogopa mahusiano, kusaliti/kusalitiwa huja na majuto makubwa, inapelekea kupata mawazo.... sawa unaweza kusamehe ila uhakika kwamba hatokusaliti tena unautoa wapi??

kiufupi kama unakosa amani piga chini.... mi naona kusamehe ina hasara kuliko faida....
Sie ma single pro😂🤣, kumbee ushawai tendwa mzee was furaha moyoni😂🤣🤣 mshamba_hachekwi
 
Back
Top Bottom