Ni sahihi kumuacha mpenzi wako kwasababu ameku-cheat?

Ni sahihi kumuacha mpenzi wako kwasababu ameku-cheat?

Jamani leo mbona watu wameamkannanmambo ya kuchapiwa mbususu na kuibiwa de libo🤣🤣🤣🤣
Aisee mambo sio mazuri. Ila kiufupi hamna mwanamke mwaminifu wala mwanamke mwaminifu. Cha msingi tusinyimane tuu utamu.
Tuwe wenye kusamehe na kuendela na maisha. Dunia tunapita eeh
 
Me kila tukiwaza tu jinsi tunavyopewaga kisusio/visusio na Ke/Mademu zetu kwa style kongwe ya "kifo cha mende" ilihali kwa Mchepuko utakuwa umekunjwa kama kilema kwa style za "popo kanyea mbingu" au umeliwa na . kabisa lazima tuishiwe nguvu za kusamehe.

Ni zaidi ya ubwege Me kusamehe Ke/Demu msaliti.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Hofu kuu ni kuletewa HIV ndani ya nyumba yenu na magonjwa mengine ya zinaa pamoja na magonjwa ya akili kama vile sonono,msongo wa mawazo nk.
Just be careful when you are choosing a life time partner. Be careful ,just be careful my friend.
 
Sio kwamba tunachunguza kisa wivu mkuu ,kuna mda unachunguza ili ujilinde asikuletee magonjwa mkuu
ukiona imefika stage ya kuchunguzana basi elewa hapo hakuna mapenzi tena bali ni mateso.

Sifa moja ya mapenzi ni amani ya nafsi, ukiona una haja ya kuchunguza basi ina maanisha huna amani ya nafsi. Hapo lililo la busara na kukusanya moyo wako na kuondoka, kutosibiri maradhi.

Mapenzi hayapaswi kuwa utumwa, mapenzi yanapaswa yawe sababu ya faraja; hisia yeyote kinyume na hapo unapaswa uanze kutafakari mustakabali wako/wenu.
 
Jamani leo mbona watu wameamkannanmambo ya kuchapiwa mbususu na kuibiwa de libo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Aisee mambo sio mazuri. Ila kiufupi hamna mwanamke mwaminifu wala mwanamke mwaminifu. Cha msingi tusinyimane tuu utamu.
Tuwe wenye kusamehe na kuendela na maisha. Dunia tunapita eeh

Si mchezo. Watu wanapigwa matukio haswa
 
Back
Top Bottom