Ni sahihi kumuacha mpenzi wako kwasababu ameku-cheat?

Ni sahihi kumuacha mpenzi wako kwasababu ameku-cheat?

Sa nikuiteje [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Mwenzio bro Kwevo anasema anampenda mamaake wewe jiendekeze tutakuzika mapema
niite hata mkuu sio huo mjina wa kuzibiana rizki.

hakuna atakaeishi milele kwahiyo vichangamshe vichangamke hivyo via vya uzazi 😂 😂
 
Inategemea amekucheat kwa kiwango gani na baada ya kukucheat amereact vipi baada ya wewe kugundua amekucheat.

Kumuacha sio suluhisho la kudumu.You might be running away from rain in Tz by going to Uganda forgetting that the same rain is in Uganda.
 
Umezungumzia cheating very casually,

Exception are bound, wapo waliotulia baada ya kufanya makosa hayo(kucheat) , ila for the most part, once a cheater always a cheater, na manaume huwa hasamehi cheating ila anasahau tu, akilikumbuka hasira zinarudi pale pale
Naunga mkono hoja,Ni ngumu sana sisi wanaume kusahau usaliti tuliofanyiwa,Yani mwanamke akizingua tu unakumbuka yote then unaanza kujilaumu kwanini ulimsamehe.
 
Hey Guys!

Mnaendeleaje, Poleni na majukumu, naomba mawazo yenu juu ya hii changamoto hapa.

Hivi ni sahihi kumuacha mpenzi wako aliyekucheat na kama ukiamua kumsamehe ni muhimu kufahamu kuwa mahusiano yao na huyo aliyecheat nae yameishia wapi?
Things will NEVER be the same.
 
Back
Top Bottom