Ni sahihi kwa Celebrity Niffer Kusema ana "strong army" likiwa ni jibu kwa Waziri Mkuu baada ya maagizo?

Strong army tena kwahiyo yupo juu ya sheria,hukufuata sheria si ndiyo maana unachukuliwa hatua, huo nikujipatia pesa kwa ufanganyifu hutawakilisha michango yote kwa hulka zako hizo hauaminiki kabisa,
 
Chawa wa 'mama', Majaliwa atatulizwa tu kwani cheo cha CHAWA WA MAMA ni kikubwa kuliko Uwaziri Mkuu.
 
Haka katoto kahuni Niffer, mpuuzi sana, kazoea kutukana watu na wasanii wenzake, kaota mapembe, kajiona yeye kana nguvu, sasa anataka kushindana na Serikali tena lugha za dharau kabisa..!!

Huyu ni kuweka ndani akae kwanza mwaka alafu akitoka ndio aseme nani alimpa ruhusa ya kukusanya fedha kwa ajili ya wahanga wa ghorofa la Kariakoo, mwizi huyu mtoto
 
Mmh, wachawi hamna bhana..
 
Kuna wadau wanadai anagongwa na mtu mzito, sasa mtu mzito kwa cheo ambae ni boss wa PM ni rais wa JMT na rais wetu ni mwanamke sasa kiburi kinatoka wapi? maana wote jinsia mmoja au mi kichwa changu ndio box? maana maruerue tu.
Kichwa chako ni box kama usemavyo
 
Anaposema anastrong army anaweza maanisha jeshi la Mungu mana nia yake ilikuwa njema tu me sioni alichokosea
hapana usimlishe maneno mkuu yy amesema ana strong army hajasema/andika kama ana strong God's army...kwamba huamini au? najaribu kuwaza kama ameweza kumjibu hivyo kiongozi mkuu wa nchi vp timbwili lake akikutana na mwananchi wa hali ya chini kama mimi si unatumiwa kikosi tu kikumalize sekunde,aise inatisha ,ila omba Mungu yasikukute kuna watu wana pesa na hayo aliyoyaongea siyo ya kupuuza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…