Ni sahihi kwa Celebrity Niffer Kusema ana "strong army" likiwa ni jibu kwa Waziri Mkuu baada ya maagizo?

Ni sahihi kwa Celebrity Niffer Kusema ana "strong army" likiwa ni jibu kwa Waziri Mkuu baada ya maagizo?

ubarinolutu

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2012
Posts
2,424
Reaction score
4,954
Je, Hawa wananchi ambao ni mastar na ma celebrities ambao pia ni wafanya biashara Wana uelewa wowote wa protokali za Kiserikali.

Nimeshangaa Mfanyabiashara mkubwa kabisa mwanamke mwenye mafanikio mengi akiwa amejijengea umaarufu mkubwa kupitia biashara zake, akitoa kauli tata inayoelekea kama ni kumjibu Waziri Mkuu wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania ambaye ni Raia namba tatu baada ya maelekezo mahususi ya kutakiwa kukamatwa kwa Niffer ambaye aliendesha zoezi la Michango Kwa maafa ya Kariakoo kinyume na Sheria ama bila kibali cha ofisi ya Waziri Mkuu inayosimamia majanga na dharura za aina hiyo.

Unaweza Kusoma ujumbe wa Niffer kupitia mtandao wake wa kijamii hapa chini

Screenshot_20241118-160048.jpg
 
Je Hawa wananchi ambao ni mastar na ma celebrities ambao pia ni wafanya biashara Wana uelewa wowote wa protokali za Kiserikali.
Neshangaa Mfanya biashara Mkubwa kabisa mwanamke mwenye mafanikio mengi akiwa amejijemgea umaarufu mkubwa kupitia biashara zake, akitoa kauli Tata inayoelekea kama ni kumjibu Waziri Mkuu wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania ambaye ni Raia namba tatu ,, baada ya maelekezo mahususi ya kutakiwa kukamatwa Kwa Niffer ambaye aliendesha zoezi la Michango Kwa maafa ya Kariakoo kinyume na Sheria ama bila kibali Cha ofisi ya waziri Mkuu inayosimamia majanga na dharura za aina hiyo.

Unaweza Kusoma ujumbe wa Niffer kupitia mtandao wake wa kijamii hapa chini
Alikuwa sahihi kusema, kusema ni haki yake ya kikatiba.
 
Sipendi kuingilia hilo suala la huyo mwanamke kuchangisha pesa , pia nisingependa kujadili legality ya order ya PM ya kumkamata huyo dada lakini nachojua hiyo anatembeza mbunye kwa watu wenye nguvu pia Majaliwa hajawahi hata siku moja kutoa amri ikatekelezwa haijawahi kutokea. Jamaa huwa anakuwa kama mpiga ramli tu sanasana anataka wamsumbue tu binti wa watu kuzuia akaunti zake mpaka amle.
 
Serikali ijuandae na bomu la hawa watu wenye wafuadi wengi mitandaoni ! Jana mm nikuwa nafuatilus hiyo michango....niliogopa ya Mamilioni yalikussnywa ndani ya muda mfupi!
Ila hata iweje huyu mtoto' anawafuadi! Kuna siku niliona wkisjangilua comment ya RAIS SAMIA kwenye Insta page yake wkimpongexs!...niidhie hapo😁
 
Back
Top Bottom