Wewe unampenda huyo binti?! Wakati unamtongoza ulikuwa na malengo gani na yeye, ya kupiga mzigo na kusepa au kuoa kuweka ndani?!Mi aliongeza nguo na kuanza kununua baadhi ya vifaa vya jikoni kama kinu na flampeni
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
We tapeli tu. Waowaji hawapogi kama wewe.... Nini kinakukwamisha sasa kufuata procedure za kuoa na kuwa rasmi?!
Basi ndio kishafika uongee na wazee wako muanze kufuata taratibu. Mke umeshapata huyo mbona mnapenda kuwachanganya vichwa watoto wa watu waonekane wao wanashida muda wote?!Kwa mujibu wake hana ndugu dar wazazi wake wako mbeya
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Sio kweli. Ukimpenda mtu unakuwa tayari kwa lolote nila condition zozote zile.Nampenda sana ila sijawa tayari kuishi naye ndo ukweli huo na siwezi ishi na mtu ambaye sijamtambulisha kwetu
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Imagine halafu mtu unakuja unaoa binti wa hivyo aiseeeee. Unajua ni fedheha kubwa sana baada ukija kusikia story za huyo binti.Wanachuo wanakaa miaka mitatu unyumba sembuse wiki mbili tu
Njoo Dzm uone mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23] umewaza mbaliToka vumbi la congo limezuiwa mtawafukuza sana,wengne mlikua mnabeba watatu-watatu tutasikia mengi.
[emoji23][emoji23][emoji23] safi, upuuz wa kuhamia kwa mwanaume ulishanishinda zamani.Ujinga na ulimbukeni,wengine wamejiolesha bure[emoji38][emoji119]....mi hata siku Moja tu naanza kuchoka usiku huohuo nakumbuka bed yangu..sema kinachonilaza ni njaa ya kukunwa...nikimaliza tu mwendo.[emoji468][emoji468]
Eti uanze na kufua nguo,kudeki,kujipikilisha 😳 mwisho umwagwe uanze kujisikia kujinyonganyonga🤸😜[emoji23][emoji23][emoji23] safi, upuuz wa kuhamia kwa mwanaume ulishanishinda zamani.
Aah mwenzangu ukijashtuka ushazeeka mwenzako anaenda chukua chuma mpya 😂 hii kitu niligoma zamani.Eti uanze na kufua nguo,kudeki,kujipikilisha 😳 mwisho umwagwe uanze kujisikia kujinyonganyonga🤸😜
Sometimes tuwe na misimamo aisee.....kutaka kuolewa isiwe utumwa Kwa mabintiAah mwenzangu ukijashtuka ushazeeka mwenzako anaenda chukua chuma mpya 😂 hii kitu niligoma zamani.
Unaenda vipi kulala na mwanamke ambaye siyo mkeo kwenye kitanda chako???Mi aliongeza nguo na kuanza kununua baadhi ya vifaa vya jikoni kama kinu na flampeni
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Wamalizane wapi sasaUnaenda vipi kulala na mwanamke ambaye siyo mkeo kwenye kitanda chako???
Huu ujasiri mnautoa wapi ?
Usiwaonee huruma itakula kwakoTuwaoeni jamani hawa watoto wa kike sometimes nawaonea huruma sana hawa viumbe.
Shangaa wewe hapo .. na wengine hawataki uwapeleke guest kabisaWamalizane wapi sasa
Ukute huyo dada wa watu akitongozwa na wanaume wema wenye malengo naye, anajibu nina mtu wangu 😃 luckylineEmbu suburi vip wewe ndoa huitaki? Hujui hata rafiki zake wewe ulimtoa wapi? Kwahiyo wiki mbili zote umemkula afu unataka sisi tukushauri vip? Wiki mbili unajilia vyako hajapata mimba?