Samcezar
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 13,095
- 22,731
We akili zako bado ni za kitoto. Kesho utakuja na uzi unaosema wanawake wa kuoa hamna kumbe ulipata ukaanza kuleta vituko vyako.
Sasa kujitambulisha kwao imeshindikana vipi hadi unasema kwakuwa upo nae hapo inakuwa kikwazo kwasababu kwao hawakufahamu?!
Ulitaka huyo binti atake nini nje ya ndoa na wewe umeingia nae hapo ndani ili iwaje?!
Amebakia hapo ndani sababu inabidi atumie vitendo kukuonyesha nia yake ya kutaka kuishi na wewe!