Ni sahihi kwa mwanamke ambaye sio mchumba au mke wako kukaa kwako zaidi ya week mbili?

Ni sahihi kwa mwanamke ambaye sio mchumba au mke wako kukaa kwako zaidi ya week mbili?

We akili zako bado ni za kitoto. Kesho utakuja na uzi unaosema wanawake wa kuoa hamna kumbe ulipata ukaanza kuleta vituko vyako.

Sasa kujitambulisha kwao imeshindikana vipi hadi unasema kwakuwa upo nae hapo inakuwa kikwazo kwasababu kwao hawakufahamu?!

Ulitaka huyo binti atake nini nje ya ndoa na wewe umeingia nae hapo ndani ili iwaje?!

Amebakia hapo ndani sababu inabidi atumie vitendo kukuonyesha nia yake ya kutaka kuishi na wewe!
 
Kwa mujibu wake hana ndugu dar wazazi wake wako mbeya

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Basi ndio kishafika uongee na wazee wako muanze kufuata taratibu. Mke umeshapata huyo mbona mnapenda kuwachanganya vichwa watoto wa watu waonekane wao wanashida muda wote?!

Hebu uwe na stara acha ufedhuli wewe.
 
Hujakosea lakini[emoji16]
 

Attachments

  • IMG_8173.jpg
    IMG_8173.jpg
    27.1 KB · Views: 8
Back
Top Bottom