Ni sahihi kwa mwanamke ambaye sio mchumba au mke wako kukaa kwako zaidi ya week mbili?

Kosa ulianza kulifanya pale ulipomwonyesha kwako wakati humfahamu vizuri kama unavyosema. Maisha magumu mkuu watu wanatafuta fursa.
 
Vichakani kuna mambo, kuna siku siafu walinidanti imagine nimevaa jinzi halafu siafu watimbe ndani....nilichachawa sikurudia tena
🀣🀣🀣🀣 Aise una vituko wewe mwanamke....sasa vichakani na jeans kweli?!! Hapo inatakiwa upo na gauni au skirt yaani kidume ananyanyua yuu na kupenyeza de libolo
 
Si umuoe kwani kuna ugumu gani🀣 Btw ukumbi million 1.5 , Gauni laki3 vingine tutakuchangia
 
Maisha kusaidiana πŸ˜ƒ
Kweli kabisa maana wacha na mrembo nae akajifunze style mupya huko kwa wengine. Plus, variety is the spice of life😜
Sii uje uonje na yangu basi kelsea....kila leo tall dark and handsome tuu! Onja na short white and ugly with money pia🀣🀣🀣🀣
 
Mwanaume mweupe afu mfupi πŸ˜‚ duh!!!
 
Wewe mrefu....nilikuona πŸ˜‚
🀣 🀣 🀣 🀣 uliniona wapi wewe bwana wakati kila leo nikikuomba twede on a date sababu lukuki. mara oh unajua mzabzab boyfrend wangu ana wivu, mara mzabzab tukigegeduana utaenda kutamba jf kuwa umenila. acha hizo mammy mie na wewe tukilana wala wana jf hawatajua i promise
 
Wee vile vidole ni vya mtu mfupi kweli?
 
Sio wote. Naleta mgomooooo[emoji1]
 
Hapo ndo tunapokosea wadada. Unaangalia mtu wa kwenda kuhamia kwake. Ss ww unakwenda kuhamia kwa brazameni unategemea nini?. Akikuchoka lazima akubalase tu. ..
Halafu unafua kbs, unaosha, unasugua na mijinsi. Siwezi hamia getto la mwanaume Mimi...Nakuja unanipa dozi, nasepaaa.

Nb: sio wote wanatelekezwa na watu wao wakitumia hiyo njia kuolewa. Wengine wanaolewa vizuri tu,,, lkn mwanaume awe ni mwenye kujielewa na asiyekimbia majukumu. Lkn ww mtoa mada, umeshamchoka huyo bint wa watu, mbususu imechina, unaamua kumbalasa mtoto wa watu. Karma is real, sio fair kabisa.
 
Daah we acha tu unakuta kabati kaligawa upande wake na wako

Yaani nilivyofanikiwa kumtoa nilifurahi sana sema alikuwa mtamu ndio hicho ninacho miss kutoka kwake
Jamani huku mtamu huku humtaki..sasa nyie mnataka nini hasa ndo mtulie na mwanamke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…