Kelsea
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 14,564
- 34,341
😂 Ila ndio ujiandae kusaidiwaDah wanawake kumbe mnakuwa na roho nzuri kwa sie tusiojua kutomber eeh.. mtuvumiliage hivyo hivyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂 Ila ndio ujiandae kusaidiwaDah wanawake kumbe mnakuwa na roho nzuri kwa sie tusiojua kutomber eeh.. mtuvumiliage hivyo hivyo
Ata wanaojua kutomber wanasaidiwa na wenye hela....either way kusaidia kupo pale pale.😂 Ila ndio ujiandae kusaidiwa
Kosa ulianza kulifanya pale ulipomwonyesha kwako wakati humfahamu vizuri kama unavyosema. Maisha magumu mkuu watu wanatafuta fursa.Habari zenu ndugu zangu.
Leo jioni nimemwambia mpenzi wangu arudi kwake baada ya kukaa kwangu karibia week tatu pasipo kuonyesha dalili za kuondoka.
Amekubali kuondoka ila kwa hasira na lawama nyingi. Nilijitafakari nikaona nitake risk kwa sababu zifuatazo.
Simjui ndugu au rafiki yake yoyote.
Nimefanya vibaya ndugu zangu?
- Sijui anapoishi.
- Ni mjasiriamali hana address.
- Anaonekana kwa vyovyote vile anataka ndoa.
Vichakani kuna mambo, kuna siku siafu walinidanti imagine nimevaa jinzi halafu siafu watimbe ndani....nilichachawa sikurudia tenaYa vichakani nayo inanoga jamani
🤣🤣🤣🤣 Aise una vituko wewe mwanamke....sasa vichakani na jeans kweli?!! Hapo inatakiwa upo na gauni au skirt yaani kidume ananyanyua yuu na kupenyeza de liboloVichakani kuna mambo, kuna siku siafu walinidanti imagine nimevaa jinzi halafu siafu watimbe ndani....nilichachawa sikurudia tena
Maisha kusaidiana 😃Ata wanaojua kutomber wanasaidiwa na wenye hela....either way kusaidia kupo pale pale.
Kweli kabisa maana wacha na mrembo nae akajifunze style mupya huko kwa wengine. Plus, variety is the spice of life😜Maisha kusaidiana 😃
Basi tueeme amekuja kukaba usopate nafasi ya kushiriki CHAPUTA kwa nafasi.🤣🤣🤣Sio kimasihara ila ujio wake kukaa kwangu ndo umenshtua siku ya kwanza kuja gheto ndo kakaa kabisa weeek 3
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Mwanaume mweupe afu mfupi 😂 duh!!!Kweli kabisa maana wacha na mrembo nae akajifunze style mupya huko kwa wengine. Plus, variety is the spice of life😜
Sii uje uonje na yangu basi kelsea....kila leo tall dark and handsome tuu! Onja na short white and ugly with money pia🤣🤣🤣🤣
ndio mie sasa wewew njoo ushangae maajabu yetu sie weupe wafupi kitandani 🤣🤣🤣🤣🤣Mwanaume mweupe afu mfupi 😂 duh!!!
Wewe mrefu....nilikuona 😂ndio mie sasa wewew njoo ushangae maajabu yetu sie weupe wafupi kitandani 🤣🤣🤣🤣🤣
🤣 🤣 🤣 🤣 uliniona wapi wewe bwana wakati kila leo nikikuomba twede on a date sababu lukuki. mara oh unajua mzabzab boyfrend wangu ana wivu, mara mzabzab tukigegeduana utaenda kutamba jf kuwa umenila. acha hizo mammy mie na wewe tukilana wala wana jf hawatajua i promiseWewe mrefu....nilikuona 😂
Wee vile vidole ni vya mtu mfupi kweli?🤣 🤣 🤣 🤣 uliniona wapi wewe bwana wakati kila leo nikikuomba twede on a date sababu lukuki. mara oh unajua mzabzab boyfrend wangu ana wivu, mara mzabzab tukigegeduana utaenda kutamba jf kuwa umenila. acha hizo mammy mie na wewe tukilana wala wana jf hawatajua i promise
Sio wote. Naleta mgomooooo[emoji1]Hamna mwanamke ambaye kakulia mazingira ya bongo hajawahi kwenda kulala geto kwa baasha wake iwe wiki miezi au miaka. Tena wahanga ni wale waliokulia seminary na kufua wameshafua ila humu kila mmoja anajifanya Salamander [emoji23][emoji23][emoji23]!
Yote hio ni libolo fc
Anza kurudi usiku ukiwa umeelewa.Kila siku nawaza kumtoa nashindwa akienda kwenye mishe zake anarudi kwangu
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
tena wewe inaelekea unapika had chakula cha wiki nzima cha baby wako ukienda kumpa utam wa mbususuSio wote. Naleta mgomooooo[emoji1]
ah wewe bwana mbona vya kawaida vileWee vile vidole ni vya mtu mfupi kweli?
Jamani huku mtamu huku humtaki..sasa nyie mnataka nini hasa ndo mtulie na mwanamkeDaah we acha tu unakuta kabati kaligawa upande wake na wako
Yaani nilivyofanikiwa kumtoa nilifurahi sana sema alikuwa mtamu ndio hicho ninacho miss kutoka kwake