Ni sahihi kwa mwanamke/Mke wa mtu kuanika chupi zake nje??

Leo ndiyo unataka unithibitishie kweli hua unavuta
 
NI SAHIHI KABISA. JUA NI NATURAL DISINFECTANT INASAIDIA KUWA KAVU VYA KUTOSHA KUUA WADUDU WNAOWEZA KULETA FANGASI UKENI. NA ISIFUNIKWE NA KHANGA IPIGWE JUA DIRECT. PIA MATERIAL NZURI ZAIDI NI YA COTTON JAPO WENGI WANASEMA NI NGUMU KWO KUFUA
Sure mm mwenyewe naanika nje km mtu akimaindi bc achukue hamisi zake. Tatizo watu wanasumhuliwa na imani zao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama mwanamke alipata ujasiri wa kukutana na shetani bustanini wakampiga majungu Mungu leo ashindwe kuanika chupi hadharani! Unawachukuliaje asee?
 
Kuanika nje ni vizuri zaidi ili zikauke vizuri kuepuka fungus unatakiwa uziwekee tu pegs .
Ila mazingira unakuta hayaruhusu mfano nnapoishi jinsi ya kike ni mimi tu wapo wanaume kama watano siwezi anika kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labda waweke khanga/mtandio juu yake
Binafsi naanika pia nje
 
wenye ugwadu (ukakasi aka ukame) wakiziangalia tu , wanadinda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…