Hahaha....bali ni nini?Walimwengu wanasema KUA UYAONE, SIO MAGHOROFA.
Hapana ila tu nawaza huo muda wanaupata wapi? Au wake zao wanapika vyakula visivyo na ladha?Kuna wengine wanapenda wenyewe kupika sasa tuwakatalie
Hahhaaa hayo mambo ndio nilikataa kata kabisaIli agundue utamu wa royco mchuzi mix
Ndio ni mtazamo tu.Labda anamsaidia Mke wake aliyezidiwa na majukumu mengine? Kila mtu aishi anavyoona inafaa kwenye nyumba anayoilipia mwenyewe!
Mimi sijaumia ninajaribu kuwagungua macho wanaume wenzangu wakumbuke majukum yao wasiyakimbie.Apike mwingine uumie wewe, jishughulishe na yanayokuhusu. Maisha mbona simple tu.
🤣🤣🤣kweli kabisa.Watakwambia ni kumsaidia mkewe wakati wanasahau mke ndo msaidizi wa mume na hayo ndo maagizo ya Mungu mwenyewe.
Ni msaidizi kwel hujakosea, kwa iyo pika kwanza ukichoka ukusaidie [emoji23][emoji23][emoji23]Watakwambia ni kumsaidia mkewe wakati wanasahau mke ndo msaidizi wa mume na hayo ndo maagizo ya Mungu mwenyewe.
Sio wote wanafanya kazi kwa muhindi kama wewe, kuingia saa 12 kutoka haijulikani.Hapana ila tu nawaza huo muda wanaupata wapi?
Toa neno mkuu usicheke tu.Maake hapo kwanza ncheke😂😂😂
Niko napata somo kutoka huku na kule.Natumai mleta mada anaendelea kupata miongozo