Ni sahihi kwa Mwanaume aliyeoa kupika?

Ni sahihi kwa Mwanaume aliyeoa kupika?

Kuna huyo mmoja anakuna hadi nazi 😂😂 basi akiweka chumvi anaonja mwenyewe kwa mwiko kama imekolea yani ni huruma
Asharogwa huyo. Yule mwingine alikuwa akiosha vyombo na ule ukoko anauweka kwenye kisosi akimaliza anaula mbele ya mke wake na wateja wao mana mke alikuwa mama lishe. Dunia hii ina mengi sana Mungu tu atusaidie wanaume.
 
Kupika ndo miongoni mwa kazi za mwanamke kumsaidia mumewe wakati mumewe akiwa katika harakati za kutafuta pesa. Kuna msemo wanasema mwanamume hakai jikoni. Na mume akioa wanasema kapata jiko iweje sasa apike yeye na jiko lipo?
😁😁😁😁😁Kwan jiko na mwenye jiko nani huwa anapika?
 
Asharogwa huyo. Yule mwingine alikuwa akiosha vyombo na ule ukoko anauweka kwenye kisosi akimaliza anaula mbele ya mke wake na wateja wao mana mke alikuwa mama lishe. Dunia hii ina mengi sana Mungu tu atusaidie wanaume.
Kumbe huyo alikuwa kwneye hiashara. huyo tutamsamehe
 
Kuna wanaume wenzetu wana vipaji vingi sana.

Mambo ya kupika Mimi ndio siwezagi.

Kitu pekee nachoweza kupika ni chai tu labda na kuchemsha maji ya kuoga.

Kuna siku nilijaribu kupika ugali, nikashangaa nimejaza maunga unga tu ukatokea uji mzitoooo... nikashindwa kuelewa niufanyeje [emoji848] nikaumwaga!!! Dah nikasema ngoja nijaribu kupika wali nikashangaa mchele umanasa nasa kwenye sufuria na umeungua...

Ilibidi nikubali tu yaishe nikaendelea na ratiba zangu za kula kwenye vibanda umiza [emoji848][emoji848]
 
Kuna wanaume wenzetu wana vipaji vingi sana.

Mambo ya kupika Mimi ndio siwezagi.

Kitu pekee nachoweza kupika ni chai tu labda na kuchemsha maji ya kuoga.

Kuna siku nilijaribu kupika ugali, nikashangaa nimejaza maunga unga tu ukatokea uji mzitoooo... Dah nikasema ngoja nijaribu kupika wali nikashangaa mchele umanasa nasa kwenye sufuria na umeungua...

Ilibidi nikubali tu yaishe nikaendelea na ratiba zangu za kula kwenye vibanda umiza [emoji848][emoji848]
Kupika ni kipaji. Mywife hata kama anaumwa haniruhusu kupika.

tena nikijipitish jikoni kwake ananiuliza umekuja kufanya nini huku?
 
Mwanamke anakuwa ana test dawa zake kama zimeanza kufanya kazi kama bado arudi tena kwa babu yaani mwanamke ukimsaidia kazi siku moja tu basi anaona dezo kila siku atakutest ukiingia king tu umeisha.
Never try it at home
 
Katka haya maisha jaribu kutolazmisha vle unavyoamin bas kila mtu aamini hivyo, ww huon haja ya kusaidia mwenza wko lkn wngne n destur na wanafanya kwa moyo wakupenda bila kushurutshwa.

Uslazmshe tufanane, na pia mwanamke n msaidz kwahiyo mnafanya wote kwa kusaidiana kila jukumu, na s kibaraka ama kijakaz hilo liweke kwny akili yako.

Lkn pia kuna kuumwa na pia kuna kuchoka, kumsaidia kupka kuosha, vyombo kufua, hata kudeki s uzoba bali n kujitambua na kutambua hauish na kijakaz.

Acha mfumo dume, na ubinafs. Kwa leo yangu n hayo.
 
Jamani tuacheni masihara. Kama kuitwa mshamba bora mimi niwe hivyo.

Hivi inakuwaje mwanaume unamkuta yuko jikoni anahangaika kupika au kufua au hata kupiga deki?

Si tulikubaliana Kazi ya Mwanaume ni kutafuta pesa, kulisha familia, kusomesha watoto na kutoa ulinzi kwa familia na jamii??

Tulikubaliana kazi ya mwanaume ni kuhakikisha unawaza kununua ndege, treni, kumiliki makampuni makubwa ya biashara, Kuiangusha Urusi.

Na mwisho kabisa kazi muhimu baada ya hayo ni kutoa kichapo kitakatifu kwa mama watoto mpaka anasema kweli hapa nina mwanaume.

Yangu ni hayo tu.
Nyie mkubaliane msikubaliane mimi hayanihusu, ila ni hivi sisi kwetu tumefundishwa kupika tangu nina miaka 8 hivyo basi hata niwe na wake 10 lazima niingie jikoni sometimes nipike. In short napenda kupika hadi mke wangu anatabasam mwenyewe anasifia mmewangu unajua kupika [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
 
Anavyokusifia Mume wangu unajua kupika na wewe unachekelea??
Jiangalie sana
 
Katka haya maisha jaribu kutolazmisha vle unavyoamin bas kila mtu aamini hivyo, ww huon haja ya kusaidia mwenza wko lkn wngne n destur na wanafanya kwa moyo wakupenda bila kushurutshwa.

Uslazmshe tufanane, na pia mwanamke n msaidz kwahiyo mnafanya wote kwa kusaidiana kila jukumu, na s kibaraka ama kijakaz hilo liweke kwny akili yako.

Lkn pia kuna kuumwa na pia kuna kuchoka, kumsaidia kupka kuosha, vyombo kufua, hata kudeki s uzoba bali n kujitambua na kutambua hauish na kijakaz.

Acha mfumo dume, na ubinafs. Kwa leo yangu n hayo.
Asante kwa mchango wako. Hapo mfume dume uko wapi.

Anyway hizi ni stori tu.

Mfumo dume upo mbinguni, uko kwa shetani. Uko Ulaya na dunia nzima.
 
Back
Top Bottom