Ni sahihi kwa vyombo vya dola kuingia kuyapekua maisha na mapato ya Juma Jux

Maskini limekukaba shingoni, lazima ufe kwa wivu
 
Mambo ya Ngoswe mwachie Ngoswe mwenyewe
 
Niseme tu maono huna..........jux hakuna la kutisha alilofanya pale................hukuona kwa mtoto wa ambani harusi miezi 3 kula kunywa bure............rihanna tu alipewa dola kama milioni 7...kuwaimbia maharusi na hapo pia ukumbuke rihanna ni bilionea ...............sasa ndio ushangae kwa jux...........pale hakuna chochote zaidi ya kuwapa ridhki mafundi cherehani wa nigeria na wauza vinywaji wa nigeria kwa hapo bongo uliona ilikuwa sherehe ya kawaida tu.. .....kukodi private jet ni kama dola 25000 hapa mpaka nigeria......usiogope ndio maana walijazana kwenye ndege moja ya kukodi . ..........kama kweli walitaka ushua kira mtu angeruka na yake............. baba bongo pazoee
 
Kama ana kadi ya chama na ana single moja ya kinaijeria ya kuachia uchaguzi huu wa mama, hilo sahau
When the regulatory system (laws) is bypassed due to political influence (party affiliation), it leads to systemic dysfunction (corruption of justice), resulting in instability and the breakdown of social homeostasis.
 
Tatizo la watanzania ni CHUKI, ROHO MBAYA na WIVU kiufupi ni (uchawi).Itakuchukua miaka million kufanikiwa.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nimecheka kwa sauti, woiiiih
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…