Ni sahihi kwa vyombo vya dola kuingia kuyapekua maisha na mapato ya Juma Jux

Huna tofauti na yule lofa mwenzio aliyesema kila lakini ya simu itozwe buku kwa mwezi
 
Jux anapata pesa via streaming ,yupo kwenye top artists ambao wanaoingiza maokoto kwenye digital platforms.

Pili harusi hizi wanachangiana sana ,wewe unafikiri kina mondi ,keikei ,rizi1 ,wewe unafikiri alipoenda kumtembelea kikwete alienda kufanya nini? Alienda kukusanya michango ya harusi......Unafikiri Jeikei katoa laki ya double? Hao waheshimiwa wanatoa mzigo wa maana 20m.
 
Hii post imejaa assumptions tu, hovyo kabisa, hovyo sana
 
Umeyamwaga uduguu pwaah..!!

Huyo jukux mbeba dona na mpz wake Jackpot bingo alivyodakwa akabaki yeye anaendeleza biz ila kwa password mana tanipoo walikuwa na wenge nae..!! Ndo visenti vingine kuvikimbizia kwa dada yake jiwe la kuvunjia milango naye kujifanya anauza mturuki og.

Huyo chuku emeka ndo penyewe papa wake ndo god father wa hizo mbanga..!!
 
Si tulikubaliana vyombo vya Dora kazi yake ni Moja tu kushgulikia CHADEMA? sasa unataka vyombo Gani Tena?
 
Hawezi kukuonyesha jinsi anavyoingiza pesa maana utajiri ni siri ,ila kijana ana bizness ambazo zinamuingizia pesa tofauti na TAPELI Chifu GUDILAVU.
Tapeli nae anatumia akili kwa uzembe wenu wa kutokufikiri ila kustream nyimbo za jux tu anavuta mkwanja mrefu sio? Hmmm ngumu kukuelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…