Kabisa kabisa uduguu, unadhani jukusi anadate na fame ladies ili iwe rahisi dealsUmeyamwaga uduguu pwaah..!!
Huyo jukux mbeba dona na mpz wake Jackpot bingo alivyodakwa akabaki yeye anaendeleza biz ila kwa password mana tanipoo walikuwa na wenge nae..!! Ndo visenti vingine kuvikimbizia kwa dada yake jiwe la kuvunjia milango naye kujifanya anauza mturuki og.
Huyo chuku emeka ndo penyewe papa wake ndo god father wa hizo mbanga..!!
Sijaelewa butπ
hpo ndo mwisho wa fikraa zako?Inasemekana alikuwa na mahusiano na mwanaume wa kiarabu mwenye mawe ya kutosha
Labda alijipata kupitia huyo
Tapeli nae anatumia akili kwa uzembe wenu wa kutokufikiri ila kustream nyimbo za jux tu anavuta mkwanja mrefu sio? Hmmm ngumu kukuelewa
Kizazi cha chiembe samakiLofa maana yake nini? Au nyie ndio kizazi cha kuogea sabuni za magwanji?
Mbavu zanguFuatilia mkuu ujue streaming /Caller tunes wanavopiga pesa / endorsements /matangazo.
Nakumbuka kuna kipindi Rose Muhando alikuwa anaingiza 29m per Month kwenye caller Tunes tu.
Mjini mipango waungwana tuliyajua kitambo, ajabu wanaume humu wameshupaza mapombou fyoko fyoko tunaoa naija tupate pesa..!! Wasijue km Hilo dona linabebewa kwenye vi-pumpkin vyao.. watakufa milango ya fahamu iko waziiii πΉπΉπΉKabisa kabisa uduguu, unadhani jukusi anadate na fame ladies ili iwe rahisi deals
zake kutoboa.
Ndo maana hana wasi wasi na hili tamasha, maana pesa zitarudi kivingine, chaap.
πππππMjini mipango waungwana tuliyajua kitambo, ajabu wanaume humu wameshupaza mapombou fyoko fyoko tunaoa naija tupate pesa..!! Wasijue km Hilo dona linabebewa kwenye vi-pumpkin vyao.. watakufa milango ya fahamu iko waziiii πΉπΉπΉ
Mimi nafurahia alichofanya jux, lakini kutwambia chanzo cha pesa ni hiki mzee umetupiga.πππJux anapata pesa via streaming ,yupo kwenye top artists ambao wanaoingiza maokoto kwenye digital platforms.
Jamaa anasikiliza porojo za mtandaoni. Ajiulize tu yeye alishawahi kununua mziki hata siku moja kwenye hizo digital platform? Basically no, not even any african man buying these noisy musicsTapeli nae anatumia akili kwa uzembe wenu wa kutokufikiri ila kustream nyimbo za jux tu anavuta mkwanja mrefu sio? Hmmm ngumu kukuelewa
Nani atamfunga paka kengele?Nadhani ni muda sahihi kwa vyombo vya dola kuanza kuogelea kina kirefu kuyachimba maisha ya Juma Jux, msanii ambaye siku za hivi karibuni maisha yake yanaonyesha anasa kuu kuliko hata za mabilionea wengi Afrika.
Inawezekana kuna biashara chafu iko nyuma ya pazia kama ya yule mbaijeria aliyekamatwa Dubai na viroba vya unga.
Hiyo private jet ilikaguliwa kiasi gani pale uwanja wa ndege? Moja kati ya mbinu zinazotumika na hawa jamaa ni kujaza mastaa katika jambo lao ili kuepusha ukaguzi mkali.
I smell a rotten rat. Tena route unaenda Naijeria kwa mafias. I insist, I smell a rat.
Hii kauli ya buguruni..Tafuta hela Mkuu. Ukiwa nazo haya mawazo hutoyapata kabisa.
Huyo mtuza mbwa.. mbwa za Waarabu.. πππKwahiyo jux anamshinda huyu jamaa anaye jiita mtoto mwenye hela nyingi
Ila za majini nzuri.Tafuta pesa kijana pesa zote safi hakuna pesa chafu ππ Sasa Kuna jamaa angu majini 3 wanampa Hela .Life goes on