MtoMsimbazi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2009
- 2,076
- 3,564
Ametoka Kigoma yule sio mzaramo shauri zakoNadhani ni muda sahihi kwa vyombo vya dola kuanza kuogelea kina kirefu kuyachimba maisha ya Juma Jux, msanii ambaye siku za hivi karibuni maisha yake yanaonyesha anasa kuu kuliko hata za mabilionea wengi Afrika.
Inawezekana kuna biashara chafu iko nyuma ya pazia kama ya yule mbaijeria aliyekamatwa Dubai na viroba vya unga.
Hiyo private jet ilikaguliwa kiasi gani pale uwanja wa ndege? Moja kati ya mbinu zinazotumika na hawa jamaa ni kujaza mastaa katika jambo lao ili kuepusha ukaguzi mkali.
I smell a rotten rat. Tena route unaenda Naijeria kwa mafias. I insist, I smell a rat.
Kunakiongozi wa serikali ya ccm kanunua nyumba ya thamani ya billion 27 Dubai ni vyema wangeanza na huyoNadhani ni muda sahihi kwa vyombo vya dola kuanza kuogelea kina kirefu kuyachimba maisha ya Juma Jux, msanii ambaye siku za hivi karibuni maisha yake yanaonyesha anasa kuu kuliko hata za mabilionea wengi Afrika.
Inawezekana kuna biashara chafu iko nyuma ya pazia kama ya yule mbaijeria aliyekamatwa Dubai na viroba vya unga.
Hiyo private jet ilikaguliwa kiasi gani pale uwanja wa ndege? Moja kati ya mbinu zinazotumika na hawa jamaa ni kujaza mastaa katika jambo lao ili kuepusha ukaguzi mkali.
I smell a rotten rat. Tena route unaenda Naijeria kwa mafias. I insist, I smell a rat.
Jaribu na wewe kama unafikiri ni rahisi unajuaje je vee money anamtoa na mkwanja kwa kumlindia heshima.jeNadhani ni muda sahihi kwa vyombo vya dola kuanza kuogelea kina kirefu kuyachimba maisha ya Juma Jux, msanii ambaye siku za hivi karibuni maisha yake yanaonyesha anasa kuu kuliko hata za mabilionea wengi Afrika.
Inawezekana kuna biashara chafu iko nyuma ya pazia kama ya yule mbaijeria aliyekamatwa Dubai na viroba vya unga.
Hiyo private jet ilikaguliwa kiasi gani pale uwanja wa ndege? Moja kati ya mbinu zinazotumika na hawa jamaa ni kujaza mastaa katika jambo lao ili kuepusha ukaguzi mkali.
I smell a rotten rat. Tena route unaenda Naijeria kwa mafias. I insist, I smell a rat.
Wameaxha kale ka wazuri ka mshiko kanafuta haki za watumishi bila hata kuulizwa,imagine ndani ya mwezi wa nne kamelazimisha kifuta haki za watumishi wote bara sijui kanafanya kwa maagizo yule bibi wa Upande wa mtawala wetu Zanzibar,hivi mnajua sisi ni koloni la Zanzibar.Hivi mnajua mwgr anakopa.pesa Tena huko Ufaranza wakati barabara zote zimejaa mashimo. TanzaZamRoad imeteoekezwa kabisa.Kweli.mnamchunguza Juzi tunaacha kuulizwa haki za watumishi kuporwa kila kitu na mwigulu.Jukusi nae ana hela za kuogopesha taifa, km ambavyo mnasema hapa?
Em waja mtupumzishe bas. Lol
Katafute pesa. Wivu utakuua. Yaani MTU ateseke kutafuta pesa akipata ale unachukia? Unataka akifa akuachie wewe urithi. Kafanye KAZI. Watu tumesota tuna pesa za kutosha ni vile hatuko huko media. Jux cha mtoto. Kwenda huko. Yaani Mimi Zogwale ni mkongwe hapa JF nina miaka 17 hapa jukwaani na umri wangu si wa kitoto kama wewe. Yaani nimesha hustle sasa naenda vacation kila nchi na wife. Halafu Leo livivu fulani liulize nimepataje fedha. Acheni utani wa Maisha.Nadhani ni muda sahihi kwa vyombo vya dola kuanza kuogelea kina kirefu kuyachimba maisha ya Juma Jux, msanii ambaye siku za hivi karibuni maisha yake yanaonyesha anasa kuu kuliko hata za mabilionea wengi Afrika.
Inawezekana kuna biashara chafu iko nyuma ya pazia kama ya yule mbaijeria aliyekamatwa Dubai na viroba vya unga.
Hiyo private jet ilikaguliwa kiasi gani pale uwanja wa ndege? Moja kati ya mbinu zinazotumika na hawa jamaa ni kujaza mastaa katika jambo lao ili kuepusha ukaguzi mkali.
I smell a rotten rat. Tena route unaenda Naijeria kwa mafias. I insist, I smell a rat.
Msitutoe kwenye mstariNadhani ni muda sahihi kwa vyombo vya dola kuanza kuogelea kina kirefu kuyachimba maisha ya Juma Jux, msanii ambaye siku za hivi karibuni maisha yake yanaonyesha anasa kuu kuliko hata za mabilionea wengi Afrika.
Inawezekana kuna biashara chafu iko nyuma ya pazia kama ya yule mbaijeria aliyekamatwa Dubai na viroba vya unga.
Hiyo private jet ilikaguliwa kiasi gani pale uwanja wa ndege? Moja kati ya mbinu zinazotumika na hawa jamaa ni kujaza mastaa katika jambo lao ili kuepusha ukaguzi mkali.
I smell a rotten rat. Tena route unaenda Naijeria kwa mafias. I insist, I smell a rat.
Duh hii ndo yavuz yafuzWameaxha kale ka wazuri ka mshiko kanafuta haki za watumishi bila hata kuulizwa,imagine ndani ya mwezi wa nne kamelazimisha kifuta haki za watumishi wote bara sijui kanafanya kwa maagizo yule bibi wa Upande wa mtawala wetu Zanzibar,hivi mnajua sisi ni koloni la Zanzibar.Hivi mnajua mwgr anakopa.pesa Tena huko Ufaranza wakati barabara zote zimejaa mashimo. TanzaZamRoad imeteoekezwa kabisa.Kweli.mnamchunguza Juzi tunaacha kuulizwa haki za watumishi kuporwa kila kitu na mwigulu.
Kweli tajiri uko vizuriKatafute pesa. Wivu utakuua. Yaani MTU ateseke kutafuta pesa akipata ale unachukia? Unataka akifa akuachie wewe urithi. Kafanye KAZI. Watu tumesota tuna pesa za kutosha ni vile hatuko huko media. Jux cha mtoto. Kwenda huko. Yaani Mimi Zogwale ni mkongwe hapa JF nina miaka 17 hapa jukwaani na umri wangu si wa kitoto kama wewe. Yaani nimesha hustle sasa naenda vacation kila nchi na wife. Halafu Leo livivu fulani liulize nimepataje fedha. Acheni utani wa Maisha.
Huyu Bwana ndogo Jux ameweka mpaka kwenye maduka ya Nguo #AgricanBoy kama sikosei na vingine vingi tu.
Nikuambie kuwa ukiwekeza fedha UTT Liquid funds tu kama 400m ndani ya miaka 5 unapata faida ya zaidi ya 300m. Ukiwekeza Bonds ya 25 years say 400m hukosi zaidi ya 36m kila baada ya miezi 6. Hizo ni investments tu ambazo hazina pressure.
Tafuta pesa mtoto.
Yavuz nzuri kuepuka wasiojulikanaDuh hii ndo yavuz yafuz
Jana umekesha kwenye pombe?Katafute pesa. Wivu utakuua. Yaani MTU ateseke kutafuta pesa akipata ale unachukia? Unataka akifa akuachie wewe urithi. Kafanye KAZI. Watu tumesota tuna pesa za kutosha ni vile hatuko huko media. Jux cha mtoto. Kwenda huko. Yaani Mimi Zogwale ni mkongwe hapa JF nina miaka 17 hapa jukwaani na umri wangu si wa kitoto kama wewe. Yaani nimesha hustle sasa naenda vacation kila nchi na wife. Halafu Leo livivu fulani liulize nimepataje fedha. Acheni utani wa Maisha.
Huyu Bwana ndogo Jux ameweka mpaka kwenye maduka ya Nguo #AgricanBoy kama sikosei na vingine vingi tu.
Nikuambie kuwa ukiwekeza fedha UTT Liquid funds tu kama 400m ndani ya miaka 5 unapata faida ya zaidi ya 300m. Ukiwekeza Bonds ya 25 years say 400m hukosi zaidi ya 36m kila baada ya miezi 6. Hizo ni investments tu ambazo hazina pressure.
Tafuta pesa mtoto.
Not only that but also others sources including his clothing line AFRICAN BOY , boutiques/Outlets ,caller tunes etcMimi nafurahia alichofanya jux, lakini kutwambia chanzo cha pesa ni hiki mzee umetupiga.πππ
πΉπΉπΉπππππ
Udugu nimecheka km chizi hapaa. Aaaah
Zitarudi ndani ya muda mchache..Kabisa kabisa uduguu, unadhani jukusi anadate na fame ladies ili iwe rahisi deals
zake kutoboa.
Ndo maana hana wasi wasi na hili tamasha, maana pesa zitarudi kivingine, chaap.