Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Kwenda bar nakuagiza; mbuzi, kuku, kitimoto, nyama choma, pamoja na kumwagilia moyo na marafiki; huku familia umeiacha ikila mboga za majani, sio uungwana.
Itapendeza zaidi, kama utakuwa na familia yako; wote mkiwa mnatumia kwa pamoja, na si wewe na marafiki wakati huko nyumbani kwako wananung'unika.
Mwisho wa siku, unaopiga nao kilaji watakutelekeza, na utabaki na ile familia yako iliyokuwa ikishindia mboga za majani.
Inabidi tubadilike, familia kwanza.