Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
- Thread starter
- #21
Wachache ndio wanalitambua hiloYes. Familia kwanza. Hao wengine wanakutafuna na kufyonza kama muwa halafu ukishabaki ganda(empty) wanakutema, tupa kule na kutafuta juha mwingine tena.
Wanatumia sana neno la "Acha ubahili bhana".