Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Chakula bora kinapimika baada ya kufika tumboni; tuanzie pale chakula kikiwa mdomoni, nani alifurahia ladha nzuri?Uliowaacha kula mboga za majani huenda kiafya wamekula chakula bora kuliko wewe uliyekimbilia kitaa kwenda kula nyama...
Mboga za majani ni healthier kuliko nyama, unayeumia ni wewe unayejidunga colestral bila kujijuaKwenda bar nakuagiza; mbuzi, kuku, kitimoto, nyama choma, pamoja na kumwagilia moyo na marafiki; huku familia umeiacha ikila mboga za majani, sio uungwana.
Huu ni uchoyo mkuuMtafutaji anakula zaidi ili apate nguvu na akili ya kutafuta
pamoja na kumwagilia moyo na marafiki; huku familia umeiacha ikila mboga za majani, sio uungwana.
Ni kweli mkuu; ila tunawanyima chakula chenye ladha nzuri kutokana na uchoyoMboga za majani ni healthier kuliko nyama, unayeumia ni wewe unayejidunga colestral bila kujijua
Ha ha ha, mawazo yamekuja baada ya kunywa bia
Kwa nini ni sahihi?Sahihi kabisa
Kiafya sio nzuri, ila kijamii, watu ni wabinafsiNyama choma ndio mbio zenyewe za kukimbilia kifo,kula nyama sio fahari the way you thought ni kifo hicho!
Yes. Familia kwanza. Hao wengine wanakutafuna na kufyonza kama muwa halafu ukishabaki ganda(empty) wanakutema, tupa kule na kutafuta juha mwingine tena.Kwenda bar nakuagiza; mbuzi, kuku, kitimoto, nyama choma, pamoja na kumwagilia moyo na marafiki; huku familia umeiacha ikila mboga za majani, sio uungwana.
Itapendeza zaidi, kama utakuwa na familia yako; wote mkiwa mnatumia kwa pamoja, na si wewe na marafiki wakati huko nyumbani kwako wananung'unika.
Mwisho wa siku, unaopiga nao kilaji watakutelekeza, na utabaki na ile familia yako iliyokuwa ikishindia mboga za majani.
Inabidi tubadilike, familia kwanza.
Sahihi kabisa mkuu. Imewahi kutokea watoto hawamjui baba kwa sababu baba anarudi saa 5-7 uck wakati watoto wameshalala na asubuhi watoto wanapoamka na kulekea shuleni baba anakuwa bado amelala. Siku zinaenda, wiki zinakatika na mwisho mtoto akimwona baba anaingia ndani, anamkimbilia mama chap na kumwambia "mama, mama kuna mgeniii" Ni aibu iliyoje?Siku zote familia kwanza kisha ndio marafiki,sio tu kula nyama bali hata kua na muda wa kukaa na familia yako Nyumbani,wape muda home wa kukaa na wewe.
Why not?Kwenda bar nakuagiza; mbuzi, kuku, kitimoto, nyama choma, pamoja na kumwagilia moyo na marafiki; huku familia umeiacha ikila mboga za majani, sio uungwana.
Itapendeza zaidi, kama utakuwa na familia yako; wote mkiwa mnatumia kwa pamoja, na si wewe na marafiki wakati huko nyumbani kwako wananung'unika.
Mwisho wa siku, unaopiga nao kilaji watakutelekeza, na utabaki na ile familia yako iliyokuwa ikishindia mboga za majani.
Inabidi tubadilike, familia kwanza.