Ni sahihi kwenda kula nyama choma, huku familia ikishindia mboga za majani?

Yes. Familia kwanza. Hao wengine wanakutafuna na kufyonza kama muwa halafu ukishabaki ganda(empty) wanakutema, tupa kule na kutafuta juha mwingine tena.
Wanatumia sana neno la "Acha ubahili bhana".
Wachache ndio wanalitambua hilo
 
familia lazima ile mboga za majani zinajenga afya ya watoto nyama choma sio nzuri kwa afya za watt wakaenwale watulie na mama yao
 
Ndivyo inavyotakiwa mkuu
 
Mboga za majani ni bora kuliko nyama
 
Anahofia kutokana na ukubwa wa familia, hatofaidi nyama choma
Labda niulize: Hiyo familia kubwa nani kaiunda? Unajua kuzaa tu bila kujua kulea? Infact ulaji wa nyama choma kulikopitiliza ni Hatari kwa Afya yako.
Kwa sababu Ukimwondoa mke wako; watoto wako wa kuzaa mwenyewe ni 50% damu yako wewe. Je, unawezaje kujitenga na kutokujipenda wewe mwenyewe ndani ya watoto wako?
 
Obviously wewe ni Marioo, unaonaga Mume wa dada yako akitoka akiwaacha sebuleni. Tafuta maisha achana na umarioo.
 
Wee hujui tuu kwa nini tunaenda bar kumwagilia moyo....hawa wanawake ukikaa nao ndani mwa nyumba mtarushiana maneno thu. Bora utulie na wana huko muda mcchache ndio utumie home na wife lah sivyo utajikuta umepiga mtu ngumi
 
Huo ni usaliti unatakiwa upigwe shaba

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…