Ni sahihi mimi nitoke kwenye Ukatoliki niwe Muislam?

Ni sahihi mimi nitoke kwenye Ukatoliki niwe Muislam?

DINI YA KIKRISTO NI DINI INAYOMWANGA DINI YANGU NI NGUZO YANGU NIMESHAENDA KILA MAHALI KUOMBA MSAADA HATA WAISLAMU WENZENU WAMENISHAURI DINI YAKO NDIO MWANGA WAKO.
KAMA HATOKUBALI UBAKI NAYO AMTAFUTE MUISLAMU MWENZIE NDIYE WATAISHI PAMOJA MTATESANA TU UKIBADILI KIANZIO CHA WEWE NI UKRISTO
ATAKUWA AMEMBADILI MTU SIO IMANI.
UMEKUZWA KWA DINI YA KIKRISTO AMEKUZWA KWA DINI YA KISLAMU KAHIYO HAPO HAMUISHI KWA UHURU .
TALAKA WAKE WENGINE HIYO NI EPISODE TU .
MAISHA NI NYIE WAWILI KWA HIYO UKRISTO NDIO NJIA PEKEE KWAKO.
WAKANIAMBIA UNAMPENDA ACHANA NAYE.
MSHAURI ATAFUTE WADINI YAKE.
MAANA MKE ALIYEKULIA IMANI YA KISLAMU ATAIELEWA ZAIDI SHERIA NA TARATIBU YA HII DINI YA KISLAMU KATAFUTE WA DINI YAKO.
UKIMBADILISHA MTU DINI KWENDA INGINE UNAMUHARIBU KIAKILI NAHATOJUA ANATAKA NINI.
SO JUA KUWA MKE NI VIZURI AWE MUISLAMU.
USIDANGANYWE UTAJIPOTEZEA MAISHA TU NA WALA HUTAENJOY UTAKUWA KAMA ZUZU HUJUI UFANYEJE .
 
naombeni ushauri mimi ni msichana ambaye kwa muda sijawa na mtu nilitangaza hapa nimepata mtu nimempenda amenipenda.
ila sasa kazi ipo yeye ni muislamu.
naanataka nibadilishe dini.
kwetu ni nope .
ni imani tosha walishakata niolewe na dini tofauti kwao juzi tumeenda hali ndio hiyo.
nimechoka kabisa.
naombeni ushauri.
maana wakristo hawatamkii ndoa ila nikipata waislamu.
wanadai ndoa fasta.
hata miezi sita hafikii.
so niko njia pandaa hadi now.
Binti yangu , hujapata Mume. Hizo ni burudani za Kiislamu. Jiandae kuingia kwenye ndoa ya wake zaidi ya mmoja. Kitu ambacho hujafundishwa. Pia jiandae kuwa mtumwa wa jambo lisilo la lazima. Atakucjezea na kukuzalisha tu. Kama anakupenda mwambie abadili yeye. Jawabu utalipata.
 
sikiliza moyo wako then ufanye maamuzi yaliyo sahihi, ukiona uzito upo kulia nenda huko maana ndo furaha ilipo
 
Sheria za nchi tulikubaliana kama watu,tukakubaliana tufuate wote kwa pamoja!Tulikaa tukazitunga sisi kwa utashi wetu kama watu huru!

Na to make it even more suitable,mnapoamua kwa pamoja mnazibadilisha any day of the week!

Sasa sheria za dini mlikubaliana kwenye bunge lipi?

Kufananisha sheria za kwenye kitabu cha dini na sheria za nchi ni ukichaa ulioje!

Vitabu vya dini vimeandikwa na some stupid individuals in the 1st century AD na kuweka uwongo eti wametumwa,with who?Bunch of old jewish dictatorial selfish men!

Choma vitabu vyote.Tuishi kwa utashi wetu wanadamu wenye akili kwa makubaliano ya pamoja kama civilized society of human beings!
Mkuu hoja ya msingi hapa ni kwamba hakuna mtu ambaye anaishi kwa uhuru jinsi atakavyo,huko nyuma umeelezea jinsi dini zinavyomnyima mtu uhuru na hata kumchagulia mtu nani ampende na nani amchukie.

Hauoneshi kukubali kwamba hata nje ya dini pia nako hakupatikani uhuru, ndiyo kwanza unaelezea jinsi zinavyopatikana sheria za nchi na za dini.
 
Binti yangu , hujapata Mume. Hizo ni burudani za Kiislamu. Jiandae kuingia kwenye ndoa ya wake zaidi ya mmoja. Kitu ambacho hujafundishwa. Pia jiandae kuwa mtumwa wa jambo lisilo la lazima. Atakucjezea na kukuzalisha tu. Kama anakupenda mwambie abadili yeye. Jawabu utalipata.
Ukiangalia historia za hizi dini hadi hapa zilipofika utaona wanaelezewa wanaume,wanawake wanajulikana walivyo wepesi wa kuamini tu na ndiyo maana wanakuwa wahanga wakubwa kwa waganga huko na manabii feki.

Hiyo yote ni kutokana na aina za imani zao,na ndiyo watu husema wanawake hawana dini.

Sasa mwanaume anayekubali kubadili dini kwa sababu ya mwanamke huwa ni mwanaume asiye na misimamo na lazima atakuwa ni dhaifu kwa mwanamke.

Jirani na ninapoishi kuna mwanaume amebadili dini kwa sababu ya kumuoa mwanamke,na tunaona jinsi mwanamke alivyo kuwa na nguvu kwenye nyumba kuliko mwanaume.
 
DINI YA KIKRISTO NI DINI INAYOMWANGA DINI YANGU NI NGUZO YANGU NIMESHAENDA KILA MAHALI KUOMBA MSAADA HATA WAISLAMU WENZENU WAMENISHAURI DINI YAKO NDIO MWANGA WAKO.
KAMA HATOKUBALI UBAKI NAYO AMTAFUTE MUISLAMU MWENZIE NDIYE WATAISHI PAMOJA MTATESANA TU UKIBADILI KIANZIO CHA WEWE NI UKRISTO
ATAKUWA AMEMBADILI MTU SIO IMANI.
UMEKUZWA KWA DINI YA KIKRISTO AMEKUZWA KWA DINI YA KISLAMU KAHIYO HAPO HAMUISHI KWA UHURU .
TALAKA WAKE WENGINE HIYO NI EPISODE TU .
MAISHA NI NYIE WAWILI KWA HIYO UKRISTO NDIO NJIA PEKEE KWAKO.
WAKANIAMBIA UNAMPENDA ACHANA NAYE.
MSHAURI ATAFUTE WADINI YAKE.
MAANA MKE ALIYEKULIA IMANI YA KISLAMU ATAIELEWA ZAIDI SHERIA NA TARATIBU YA HII DINI YA KISLAMU KATAFUTE WA DINI YAKO.
UKIMBADILISHA MTU DINI KWENDA INGINE UNAMUHARIBU KIAKILI NAHATOJUA ANATAKA NINI.
SO JUA KUWA MKE NI VIZURI AWE MUISLAMU.
USIDANGANYWE UTAJIPOTEZEA MAISHA TU NA WALA HUTAENJOY UTAKUWA KAMA ZUZU HUJUI UFANYEJE .
Kuna tofauti gani ya kubadili dini ili uolewe na kufuata dini kisa tu ndiyo dini ya wazee wako na ndiyo umelelewa nayo?
 
Mimi kama mwanamme wa kiislamu, ninakuashauri ...(bila shaka ushajua naelekea wapi) ,, sijaja hapa kuhubiri dini au kukushawishi uwe muislamu. ila nitakacho kuhakikishia tu ni kwamba islam is a beautiful religion.

After all muslims and christians have only one God, tofauti pekee kubwa ni kwamba wakiristo wanaamini kuwa yesu ni mtoto wa Mungu, sisi tunaamini kuwa Mungu hana mtoto wala hana wazazi, na hivyo yesu ni mtume wa Mungu. kama alivyo Muhammad ni mtume wa Mungu.

welcome to islam, hutajutia uamuzi wako. daima.
waislam kwa ugaidi,mauaji,ufiraji na utukutu hawajambo..bad enough hata wale waliokolea dini hata usoni tuu unaona walivyo cruel..i hate them
 
waislam kwa ugaidi,mauaji,ufiraji na utukutu hawajambo..bad enough hata wale waliokolea dini hata usoni tuu unaona walivyo cruel..i hate them
tumekusikia mkuu..

mimi nakupenda sana mkuu japo ni muislamu.

tupo pamoja kwa sababu najua tumeishi kwa wema jf japo mimi ni muislamu na wewe ni mkristo na natambua kwamba wapo wakristo wenzio ambao wana matendo machafu sana ambayo hata djni yao haifundishi.lakini mimi siwezi kuwachukia wote kwa kuwa kuna ambao wanafanya machafu.

mkuu mimi nakupenda sana
 
naombeni ushauri mimi ni msichana ambaye kwa muda sijawa na mtu nilitangaza hapa nimepata mtu nimempenda amenipenda.
ila sasa kazi ipo yeye ni muislamu.
naanataka nibadilishe dini.
kwetu ni nope .
ni imani tosha walishakata niolewe na dini tofauti kwao juzi tumeenda hali ndio hiyo.
nimechoka kabisa.
naombeni ushauri.
maana wakristo hawatamkii ndoa ila nikipata waislamu.
wanadai ndoa fasta.
hata miezi sita hafikii.
so niko njia pandaa hadi now.
Katoto kazuri unapoomba ushauri kamwe usiandae msimamo wako kwanza maana ushauri hautakuwa na maana kwako.Kuhusu kubadili dini,moyo wako unatakiwa kuwa na nguvu zaidi ya maamuzi kuliko sie wachangiaji maana ktk michango ya wadau hapa ukiangalia kuna ushabiki wa dini unatawala ktk pande zote kila mmoja akivutia kwake lakini nilichokiona wengi upande wako wa Kristo point yao kubwa imeegemea kwenye talaka kuwa ukibadili dini kuingia upande wa pili ujiandae kuachwa muda wowote kitu ambacho sio sahihi.Nijuavyo ndoa ina miiko yake na talaka ina masharti yake ambayo sio mepesi km tuna you bulimia ila kinachotokea ni udhaifu wa kibinadamu unaotupoteza na hata kukiuka maamrisho ya Mungu.Tunashuhudia wakristo wangapi ambao wanaachana licha ya kuwa wana ndoa ya milele?Umeshasema wakristo wakija wanataka kukutumia tu ndoa hawataki ila Waislam wanatangaza ndoa fasta hata miezi sita haifiki,sasa ni suala la kuamua kama unataka KUTUMIKA TU au KUOLEWA.

Ntakupa mfano mdogo wa kweli.
Baba yangu mdogo alipoajiriwa alikutana na Dada mmoja ktk kituo chake cha kazi,yule dada akiwa Typical RC wakapendana na kuanza mahusiano,Mdingi akamuomba yule bimkubwa abadili ili amuoe akawa tayari 100%,mzee akatuma wajumbe wake wapeleke Ujumbe kwa wazazi wa binti,Loooh walitolewa mkuku kuwa haiwezekani.Basi mzee wakaendeleza mahusiano Mara mama akanasa ile kujifungua tu mzee akapigwa faini ya mbuzi 21 hiyo ilikuwa 1993 mzee akalipa na baada ya kuona issue imebounce ikabidi aende kuoa wa dini yake,but kwa kuwa walikuwa wamependana hasa huwezi amini yule mama alikubali kuwa km mke pia wakazaa mtoto wa pili tena ila safari hii hakupigwa faini na ukweni dingi alikuwa anaheshimika ila mpaka kesho mama yangu yule hakuwahi kuolewa tena.So uamuzi wa mwisho unao mwenyewe ila dini isikukoseshe furaha ya kuwa na familia yako coz tunavyoamini kuwa siku ya hukumu mtoto hatamjua baba take,wala mama hatamjua baba so kila mtu atasimama na kuhukumiwa yeye kama yeye.
KILA LA HERI.
 
Kamuulize Nuhu mziwanda,, kubadili dini na kua muislam kisa ndoa huna tofauti na Yuda kumuuza Yesu kwa vipande 30 vya fedha, think twice usije ukajutia uamuzi wako baadae.
 
Huyo padri naye kakudanganya, kwani dini za mababu zetu ndo ukristo na uislamu? Rudi kamuulize tena mababu zetu walikuwa dini gani?huyo hataki utoke huko sababu sadaka itapungua kanisani,huo ndo ukweli
 
nimewaza na kila mtu hadi padri kakataa nibadili kasema Mungu hakukosea niwe mkristo na nilaana kubadili dini ya mababu zako so niko njia panda kiukweli nimechoka kabisa.
Mababu zetu walikuwa dini gani?
 
najua Rc ni dhehebu ipo ndani ya dini ya kikristo ila ningekubali kuolewa nayeye kama sio yafuatayo ukigombana naye tu anakuacha mawifi je je kuongezewa mke mwingine yaani kazi sana.
nipo njia panda naweza olewa nikafa kama ananipenda anioe na dini yangu.
watoto wakikuwa watajua wafuate lipi.
Hiyo talaka ina taratibu zake na sio kila kosa,back katika hadithi na mafundisho Mungu anaichukia talaka japo kaihalarisha ila hapendi watu wake wafarakane. Na mwsho swala la talaka linatoa ahueni kwa wote,mana hata wewe waweza iomba talaka endapo kuna ulazma wa hilo mfano mume hana uwezo wa kukuingilia,je huoni kama hilo ni ahueni kwako!? Kuna mengi sana, kama unataka darasa zaidi juu ya hilo njoo PM.
 
Na swala la kuwaingilia wanawake kinyume na maumbile je lina taratibu gani kwenye uislamu?
 
Swala la kuongeza mke halija katazwa kisheria za dini, lakini pia haulazimishwi kuoa mke zaidi ya mmoja, tena unakuwa discouraged kama imani yako ni hafifu. Swala ni la mtu binafsi, wapo waislam wengi wasiotaka kusikia kabisa swala la mke zaidi ya mmoja. Si ajabu huyo mwenza wako hapendi hilo swala
Hope hata wakristo wengi tu wanatamani kuwa na mke zaidi ya mmoja ila kwa kuwa wapo katika kifungo cha imani ndo hvo tu hawana namna, Anko Magu deile anamtamani awe kama mzee Mwinyi.

Note: mke mmoja hudumaza akili na hujui maana ya kupendwa
 
Mkuu hoja ya msingi hapa ni kwamba hakuna mtu ambaye anaishi kwa uhuru jinsi atakavyo,huko nyuma umeelezea jinsi dini zinavyomnyima mtu uhuru na hata kumchagulia mtu nani ampende na nani amchukie.

Hauoneshi kukubali kwamba hata nje ya dini pia nako hakupatikani uhuru, ndiyo kwanza unaelezea jinsi zinavyopatikana sheria za nchi na za dini.

TZ Mbongo

Nje ya dini sheria ni maelewano tena kwa kura,kwa utashi wa nyie wananchi,sio mnaandikiwa na mpuuzi mmoja halafu anasema katumwa!

Umeona tofauti mzee?
 
Hope hata wakristo wengi tu wanatamani kuwa na mke zaidi ya mmoja ila kwa kuwa wapo katika kifungo cha imani ndo hvo tu hawana namna, Anko Magu deile anamtamani awe kama mzee Mwinyi.

Note: mke mmoja hudumaza akili na hujui maana ya kupendwa

Kwahiyo mtu akiolewa na mwislamu ajue anatumiwa kama bablish akichoka ustaaz anatoa talaka na kuvuta mwingine au anavuta mwingine ukiwa hapo hapo kama wanyama vile!
 
Back
Top Bottom