Ni sahihi mimi nitoke kwenye Ukatoliki niwe Muislam?

Ni sahihi mimi nitoke kwenye Ukatoliki niwe Muislam?

Uislam umeanzishwa na katoliki ili kuwadhibiti wayahudi na wa protestant mkuu,hivyo uuheshimu tuu mkuu
🙁 kivipi mkuu,kwani Uislam umeanzishwa lini na Ukatoliki umeanzishwa lini? Na nani hasa kaanzisha "Roman Catholic"

Katika tafiti zangu nimeona kuwa Utawala wa Kirumi "Roman Empire" ndio umeanzisha kanisa la "RC",historia inasema mwaka mmoja baada ya familia ya Yesu kurudi Nazareth kutoka Egypt,Galilee ilitawalina na utawala Kirumi mwaka wa 6ce,..

Biblia inasema waisrael na askari wa kirumi ndio waliosulubu Yesu msalabani,sioni mantiki ya warumi kuanzisha Uislam ili wawathibiti wayahudi, wakati warumi na mayahudi walikuwa waliungana pamoja,walikuwa marafiki.

Wayahudi ndio waliowalazimisha Pilato lazima Yesu asulibiwe soma Yohana 19:5-14
 
Mkuu,ni freedom from within yourself!

These religious fanatics wanaongonzwa na vitabu vilivyoandikwa na wanadamu wenzao waliowadanganya eti wametumwa na Mungu.

Mwanadamu huyu huyu dhaifu,mwenye hila,wivu,roho mbaya,etc,eti wametumwa na mungu wakuandikie kitabu ukifuate!Hahahahaa..Mbona hawajatumwa wajenge movie?Pia ni fasihi simulizi kama ilivyo fasihi andishi!Mungu gani so limited,dhaifu mpaka solution aliyopata ni kuandika vitabu?Stupid god!
Hoja yangu ni kuwa hakuna maisha yenye kumpa mtu uhuru wa kufanya vyovyote atakavyo,iwe utafuata sheria za dini au za nchi hakuna tofauti.

Hayo ya vitabu vya dini kuandikwa na wanadamu ni hoja nyengine.
 
Kwahiyo hoja yako ina halalisha watu kufungwa na dini?

Ni sahihi dini kuwafunga watu na kuwaelekeza yupi wa kupenda,yupi wa kuchukia,yupi wa kuzaa nae yupi wa kuacha?

Ni sahihi mwanadamu mwingine to think and kuamua on your behalf?

Hii case ya huyu dada kwenye huu uzi ni pure evil.Huwezi pangia wanadamu watu wazima yupi wa kumpenda na kuoa!

Why cant you use your own survival brain you was born with?
 
ISHIA HAPO HAPO MINAOMBA USHAURI KAMA NYIE MMEIFANYA HUU UZI KUPASHANA UKIUMIA DO NOT JUDGE ME.
 
Wewe usijifanye hujui kufatilia uzi. Soma huko juu upate elimu sio kuleta vitu virahisi rahisi. Wakristo halisi ni wanafunzi wa kristo. Neno linasema hivi katika Wagalatia 3:29 Na kama ninyi ni wa Kristo, basi, mmekuwa uzao wa Ibrahimu, na warithi sawasawa na ahadi. Hivyo mkristo anakuwa uzao wa Abraham kwa imani. Anayemkataa kristo sio muisraeli hata awe amezaliwa katikati ya uyahudi. Sijui utalielewa hili maamuma
Mkuu hata dini ya Kiislam wanaamini kuwa Abraham(Ibrahim) ndio mtume wa mwanzo,ile nyumba(Alkkaba) iliyojengwa katika mji wa Makka ambayo waislam wa dunia nzima wanageukia upande iliyoko ile nyuma wakati wanasali imejengwa na Abraham..

Warabu na wayahudi ni watu wamoja wote wametokea katika ukoo wa Ibrahim(Abraham),Historia inasema Nabii Ibrahim alikuwa na wake wawili Sarah na Hajar,..Hajar alikuwa anatoka Egypt.

Kuna vitabu vinasema Hajar alikuwa mtumwa,alikuwa nyumba ndogo ya nabii Ibrahim,waislam wanaamini Hajar alikuwa mke wa halali wa Ibrahim,na alikuwa malkia kutoka Egypt..

watoto ambao Nabii Ibrahim alipata na mke wake Hajar ndio chimbuko na Warabu,..,watoto aliozaa na Sarah ndio chimbuko la Wayahudi

Wayahudi wanawadharau warabu kwa sababu wanasema ni watoto wa mtumwa na dini ya kiislam wanaiita "Hagarisim"..

Kwa kifupi Wayahudi na Warabu wote wametoka kwa Nabii Ibrahim,kwa maana hiyo dini zote za Kiislam,kiyahudi zimetoka kwa Ibrahim,sema Ukiristo umetoka kwa Paulo
 
Kwahiyo hoja yako ina halalisha watu kufungwa na dini?

Ni sahihi dini kuwafunga watu na kuwaelekeza yupi wa kupenda,yupi wa kuchukia,yupi wa kuzaa nae yupi wa kuacha?

Ni sahihi mwanadamu mwingine to think and kuamua on your behalf?

Hii case ya huyu dada kwenye huu uzi ni pure evil.Huwezi pangia wanadamu watu wazima yupi wa kumpenda na kuoa!

Why cant you use your own survival brain you was born with?
Mkuu nimerudia kusema kuwa hakuna mtu ambaye anaishi kwa jinsi atakavyo,na hata hapa Tz tunaishi kwa kufuata sheria na taratibu. Lakini ajabu haugusii huko ila umeshikilia dini tu kana kwamba nje ya dini mtu anaweza kuishi atakavyo.
 
In Islam ninavojua mm ni kharaaaam kumuingilia mtu kinyume na maumbile na hata Kama ni mke basi unarhusiwa kuondoka ukarudi kwenu ukatulia kaumu Lut waligharikishwa kwa sababu ya kulawitiana sasa hiyo no.4 ndo kwanza naickia Leo

no.1 kiuhalisia talaka Mungu anaichukia ni ruhusa kuacha if hakuna hata little chance ya kuendelea na ndoa na ukiachwa sheria ya eda miez mitatu km ni mjamzito hadi ujifungue ukae humo humo ndani kwa mume vyumba tu tofaut hwenda ikapita fatwa mkasameheana na kuridiana

No.2 kipigo ni tabia ya mtu na sio dini iliohalalisha mume ampige mke na tunashuhudia wanaume tofaut wanapiga wake zao na wengine hawana dini

No 3 ni utiifu tu wa nidhamu kwa mume wako ila haupaswi kumtegemea kiumbe yeyote isipokua Mungu na sio kweli km lzma umtii kwa kila analolitaka ni utiifu tu km unavyowatii wazazi wako jema unakubal na baya una uhuru wa kukataa
No.5 na namba sita ni hivo hivo

Mtoa Mada ungefanya utafiti kwanza ukazielewa sheria za dini usifate mkumbo inaonesha hata huko RC si muelewaji wa dini usingefika kabisa hapa imani hasa ikikukaa moyoni hufikirii hata kubadili na kufika kuomba ushaur shida ya binadam inakuja pale unapochanganya matendo ya mtu na imani yake kwa mfano mimi kitu ambacho sijawah kupoteza hata sekunde kufkiria kubadili basi ni dini nimezaliwa nayo nimekua nayo na nitakufa nayo wakunibadilisha hayupo kwa mtu na haitowezekana hata niishi miaka yote bila mume

umewahi penda?
 
Hayo ndo majaribu katika imani… hiyo sauti unayoisikia kwamba mwanamke hana dini imeandikwa wapi?…. Hiyo sauti ni ya shetani , ikimbie. Mwanamke ndiye aliyekua wa kwanza kutoa na kushuhudia kaburi la Bwana Yesu likiwa wazi, wewe acha kuisikiliza hiyo sauti, inakupoteza, linda imani yako na Mungu atakuzidishia hitaji la imani yako kwa kadri ya imani yako,… (atakayenikana mbele za watu nami nitamkana mbele ya Baba yangu)…. Hizo tamaa ndio huzaa shamba, kisha dhambi huzaa mauti. Pia andiko lasema, "nimeumaliza mwendo, nimevipiga vita vilivyo vizuri, imani nimeilinda"
 
mimi meogopa kubadili.
1.talaka
2.kupigwa
3.eti mwanaume ni Mungu wako wewe ni kijakazi wake.
4.eti hata ukiwa kwenye hedhi au kuumwa utafute njia ya kumtimizia mume wako so unampa tigo au halafu akikuforce hashtakiwi wala nini haki.
5.eti wewe hurusiwi kuongea kitu kupinga kitu yeye na ndugu zake ndio wapangaji.
6.watoto na mama wao wapo tu.
so mimi ht kama anahela nakila kitu nimeghairi
HAKUNA KITU KAMA HICHO KATIKA UISLAM. KUNA MAMBO MAWILI TU HAPO (1) WEWE MUONGO HUJAPATA HUYO MCHUMBA UMEAMUA KUDANGANYA WATU ILI UONE MITAZAMO YAO (2) HUYO MWANAUME NI MUISLAM ILA SI MUUMINI. KWA USHAURI WANGU USIBADILI DINI KABLA HUJAUJUA UISLAM.
 
umewahi penda?
Nampenda Mungu klko tu kwaio dini ndio muongozo wangu wa maisha na haitotokea kupelkeshwa na mtu kuhusu pili si sahihi kutoka RC kwenda uislam km wewe mwenyew haupo radhi na hilo kwasabbu kwenye imani mtu halazmishiwi ni hiar tu
 
Acha upuuziiiiii baki na dini yako utakuja kujutaa mbeleni waislamu sisi ni wepesi kutoa talaka sijui wanafanyaga kwa misifa au ??

Tunasababisha masingle mothers kitaa.
wepesi kutoa taraka kwasababu hawana ilmu ya dini. Wengi hukurupuka.
 
Nampenda Mungu klko tu kwaio dini ndio muongozo wangu wa maisha na haitotokea kupelkeshwa na mtu kuhusu pili si sahihi kutoka RC kwenda uislam km wewe mwenyew haupo radhi na hilo kwasabbu kwenye imani mtu halazmishiwi ni hiar tu
YES, INAONESHA HAYUKO RADHI ILA ANACHOFUATA NI MUME. ITAKUJA KUMGHARIMU BADAE. UISLAM NI MWEPESI UKIWA UNAUJUA IPASAVYO
 
Back
Top Bottom