Ni sahihi mimi nitoke kwenye Ukatoliki niwe Muislam?

Ni sahihi mimi nitoke kwenye Ukatoliki niwe Muislam?

Mimi kama mwanamme wa kiislamu, ninakuashauri ...(bila shaka ushajua naelekea wapi) ,, sijaja hapa kuhubiri dini au kukushawishi uwe muislamu. ila nitakacho kuhakikishia tu ni kwamba islam is a beautiful religion.

After all muslims and christians have only one God, tofauti pekee kubwa ni kwamba wakiristo wanaamini kuwa yesu ni mtoto wa Mungu, sisi tunaamini kuwa Mungu hana mtoto wala hana wazazi, na hivyo yesu ni mtume wa Mungu. kama alivyo Muhammad ni mtume wa Mungu.

welcome to islam, hutajutia uamuzi wako. daima.
Pia ungeweza kumshauri huyo mwanaume aje katika ukristo, dini ya haki na upendo na isiyokuwa na vinyongo au kulipizana mabaya
 
Usije ukabadili din sababu ya ndoa badili din ikiwa umeridhishwa na hoja zao
Sidhani kama atakuelewa, mtu akiwa mapenzini hasikilizagi ushauri. Kubadili dini kwaajili ya ndoa ni upuuzi uliopitiliza.
 
Olewa Dada nimeona watoto WA Mchungaji WA tatu wrote WA kike kila mchumba akija muislam Na wrote wamebadili dini wameolea Na wamejenga miji yao
Umekariri. Kubadili dini si tatizo..tatizo ni kubadili dini kwaajili ya kuolewa.
 
Sikia bibie mimi ni muislamu, kubadili dini kisa mume tuhaina ujazo ubadili dini baada ya kuisoma na kuona huko ndio kwenye haki, mkazanie huyo mchumba wako akuoe elimu ya kutosha, chimbuo soma sana ndio uhame dini, hatuhami dini kumfata mume, ni kumpokea allah(s.w). Kwa ushauri na maeleezo zaidi uliza hapa hapa.
Kumbuka anayezungumziwa hapa ni mwanamke,ndiyo maana kwenye uislamu muislamu mwanaume anaweza kumuoa mwanamke asiye muislamu.

Huu msemo wa kuwa mwanamke hana dini unaweza kuwa usiwe sahihi ila unafikirisha.
 
Wewe binafsi huna imani imara. Katika umri ulionao ulitakiwa kufahamu maana ya wewe kuwa mkatoliki. Mpaka sasa hivi wewe ni Mkatoliki wa kuzaliwa lakini huufahamu Ukatoliki.
hata angekuwa dhehebu lingine, kiimani hajielewi afata mkumbo.
angejielewa from the beginning asingeendelea na jamaa au angeshajua anabadili.
kwa kweli huwa sipotezi muda wangu kama naona imani itasumbua.
 
Suala la ndoa pekee lisikufanye uhame dini,kwasababu wewe ni mkristo na unaufahamu,jipe muda pia uufahamu uislam pia,ndipo ufanye maamuzi!

Ukiona hayo yote yanakua magumu,kuna bomani pia mnaweza kwenda mkafunga ndoa yenu huko!
Suala la ndoa ni la kiimani.
 
Kama una umri juu ya miaka 22,maamuzi ya kubadilisha dini ni yako
 
Wasichana wengine wa kikristo ni hovyo sana.Akikutana na mvulana wa kibarakhashea anamdanganya kua mwanamke hana dini hivyo anatakiwa afuate dini ya mumewe.Lakini mvulana wa Kikrosto akikutana na ustaadha,ustaadha anamwambia mvulana wa kikristo badili dini,this is bullshit!Si mlisema mwanamke hana dini???Unagundua tuu ni utapeli wa hiyo dini.

Na ukiangalia wasichana wa kikristo wanaobadilisha dini ni wale wa hovyo hovyo,huwezi kuta msichana wa maana anayejitambua atoke nuruni aende gizani,haiwezekani!
Ukiangalia jinsi wanawake walivyokuwa ndio wateja wakubwa wa waganga na ndiyo wahanga kwa hawa watumishi wa mungu feki,basi utajua imani ya mwanamke ikoje.
 
We fuata moyo wako unasemaje,
kipi kitakupa amani ya moyo.
Hizi dini ni mitego tu. Waweza kuta dini zote hizi feki.
 
It is really funny to see how religion can hold people into captivity!

This is one of them!

Thats why I hate religion with passion!

Religion is the system so lethal,it tells you how to think and live,and if you disobey kwa kujua au kutokujua eti utaadhibiwa kwenye moto wa milele...This is pure lunacy!

How can two adult human beings being told who to love and who not to love?Utampangia mwanadamu yupi ampende au kumchukia?Stupidity!
Hakuna maisha ya mwanadamu ambayo yana uhuru wa kufanya vyovyote ajisikiavyo,hata hapa Tz tunaishi kwa sheria na taratibu.
 
naombeni ushauri mimi ni msichana ambaye kwa muda sijawa na mtu nilitangaza hapa nimepata mtu nimempenda amenipenda.
ila sasa kazi ipo yeye ni muislamu.
naanataka nibadilishe dini.
kwetu ni nope .
ni imani tosha walishakata niolewe na dini tofauti kwao juzi tumeenda hali ndio hiyo.
nimechoka kabisa.
naombeni ushauri.
maana wakristo hawatamkii ndoa ila nikipata waislamu.
wanadai ndoa fasta.
hata miezi sita hafikii.
so niko njia pandaa hadi now.
Kuwa mpagan alafu muulize hapo vipi
 
hiv mbinguni wanandoa mnabeba msalaba mmoja wa dhambi au kila mtu kivyake.........!!!??? hivi dini ni kigezo mbinguni?? afu huu utaratibi wa kufunga harusi kwa wapenzi ni official mpka kwenye vitabi vya dini?? au tumeanzisha wanadamu???.

Nipate majibi hayo tafadhar ili nimshauri vzur dada angu
Haya uliyoyauliza ndio hutofautisha kati ya dini na imani tu.
 
Zamani kidogo,pale Manzese Madizini kuna bi Mdada mmoja toka uchagani alielelewa katika Ukatoliki,alipataga Bwana kama wewe na Akasilimu...baada ya ndoa akuweza pata mtoto,hivyo akalimwa Talaka tatu!...
Bora hivyo au bora mwanaume akatafute mwanamke wa nje ili amzalie?maana tumeyaona haya.
 
what do you think is the purpose of this life?
Purpose is overrated!Do you think because u are a human being you have purpose?Selfish thinking of religious human beings,what about other living things?Kwahiyo other organisms are purposeless?Mwanadamu ni living thing asie na tofauti na mnyama mwingine,tofauti ni kua ana akili na sentient,ila ana kila kitu kama wengine,emotions,maumivu,raha,huzuni,emphathy,etc.Hiyo purpose keep for yourselves!
who created us?
did we just magically appear from nothing ?
As scientists,we are still looking for answers!Sio kama nyie mnatoa majibu ya kufikirika eti tulijengwa kwa udongo!What the fvck is that nonsense?
and please don't tell me the evolution crap, because even those scientists who invented this theory cant explain why " evolution has paused".
Mkuu evolution ni effort tu ya mwanadamu kujaribu kutafuta majibu possible sources za sisi wanadamu.Sio kua ni jibu definite.Tunaendelea kutafuta majibu.Ndio raha ya sayansi.Hatujasema ndio jibu sahihi,ila so far kwa effort ya mwanadamu kwa kutumia sayansi tumefika kwenye Evolution Theory na yenyewe sio perfect,tutakuja kupata majibu sahihi zaidi research zinapoendelea.Anyone with a proven research can prove anything to be right or wrong.Ila kwenu,kilichoandikwa kwenye Biblia au Quran ndio sahihi!Rubbish
Most of the atheists, claim that there is no God because they can't see him. Well, if i tell you that there is a planet called Neptune. would you believe it? why do you believe that planet Neptune exists while you haven't seen it with your own eyes?
Mkuu,Neptune is real.Kwenye space centre kuna tools za kuona na unatuma waves za doppler effect unajua composition yake na kila kitu.Hebu acha kuleta theory za kiajabu.God is not real.Ni fictional character!Deal with it religious people!And again,Fvck your God,haya come and kill me kama umekasirika nimetukana fictional character called God!Dini haina tofauti na superstition,wote mnafanya rituals tu,wewe unafanyia kwenye kanisa yeye anafanyia chini ya mti,ni tofauti ya location tu..ila wote ni wachawi watupu!Nyani haoni kundule!
 
Hakuna maisha ya mwanadamu ambayo yana uhuru wa kufanya vyovyote ajisikiavyo,hata hapa Tz tunaishi kwa sheria na taratibu.

Mkuu,ni freedom from within yourself!

These religious fanatics wanaongonzwa na vitabu vilivyoandikwa na wanadamu wenzao waliowadanganya eti wametumwa na Mungu.

Mwanadamu huyu huyu dhaifu,mwenye hila,wivu,roho mbaya,etc,eti wametumwa na mungu wakuandikie kitabu ukifuate!Hahahahaa..Mbona hawajatumwa wajenge movie?Pia ni fasihi simulizi kama ilivyo fasihi andishi!Mungu gani so limited,dhaifu mpaka solution aliyopata ni kuandika vitabu?Stupid god!
 
Ndomana Mimi nikisikia tu Yale majina pendwa napita mbali....kuiacha imani uliyokua nayo mtihani mkubwa sana.
 
Back
Top Bottom