Ni sahihi mimi nitoke kwenye Ukatoliki niwe Muislam?

Ni sahihi mimi nitoke kwenye Ukatoliki niwe Muislam?

Kwa kifupi tu, kuna dada mmoja alizaliwa anaitwa Margaret. Alisoma na kupata ajira, mpaka umri wa mikaka 30 Margaret alikuwa hajaolewa.

Pressure za marafiki zilizidi. Alipotokea Ally anataka kuoa Margaret alikubali kubadili dini na kuitwa Mariamu . Ally na Mariamu walipata watoto wa tatu.

Tulikutana na Margaret siku ambayo mtoto wake alikosa nafasi kwenye shule ya RC kwakuwa nafasi walizotoa kwa watu wa dini nyingine zimekwisha na chache walizinazo ni za watoto wa waumini wao.

Mariamu aliniambia kuona watoto wa marafiki zake wanabatizwa na kupata komunio na Kipaimara vinamuumiza sana.kabla mhujaamua maamuzi magumu jitafakari zaidi.
Usimshauri mtu kwa mfano wa mtu mmoja, jitaidi kuwa mchambuzi wa swala kwa kina. Ukweli dada unaweza ukaingia kwenye hiyo ndoa ikawa mbaya na yaweza ikawa nzuri yenye furaha katika maisha yako yote. Family itaenda ila itafikia sehemu itakubari matokeo. Na wewe ndio utakuwa judge wa maisha yako, uzuri hiyo ndoa unaweza ukaingia ukajaribu ndoa ukisikiliza sana ushauri na kufuata mifano ya juu juu huolewi. Kila mtu wtakwambia mbaya ila hawatoki wamo humo humo. Muombe mungu kaza roho jaribu na wewe acha kusikiliza maneno
 
ISHIA HAPO HAPO MINAOMBA USHAURI KAMA NYIE MMEIFANYA HUU UZI KUPASHANA UKIUMIA DO NOT JUDGE ME.

Mama achana na dini!

Angalia sasa,you in life turmoil because of it!

Fata akili yako!

Utapangiwaje wa kumpenda?

Jesus is stupid,Allah is stupid too....mmekasirika njooni mniue!

Hahahahaaaa
 
Kumbuka wenzetu upande wa pili waschana kuanzia watoto madrasa wanajengwa kisaikolojia kua mumewe ana haki ya kuoa mke zaidi ya mmoja ikiwa mwanaume akataka ivyo, so ukienda uko akili yako inatakiwa ifaham ilo, pili talaka ni kawaida sana sio kitu cha kushangaza ikiwa mkashindwana ata kwa tatizo linalotatulika, ukifaham aya we nenda zako
Wewe hufai kuwa mshauri udini unakuumiza jaribu kumpa mtu option sio kuchukulia jambo ni rahisi, dada angalia moyo wako achana na miruzi mingi
 
Hayo ndo majaribu katika imani… hiyo sauti unayoisikia kwamba mwanamke hana dini imeandikwa wapi?…. Hiyo sauti ni ya shetani , ikimbie. Mwanamke ndiye aliyekua wa kwanza kutoa na kushuhudia kaburi la Bwana Yesu likiwa wazi, wewe acha kuisikiliza hiyo sauti, inakupoteza, linda imani yako na Mungu atakuzidishia hitaji la imani yako kwa kadri ya imani yako,… (atakayenikana mbele za watu nami nitamkana mbele ya Baba yangu)…. Hizo tamaa ndio huzaa shamba, kisha dhambi huzaa mauti. Pia andiko lasema, "nimeumaliza mwendo, nimevipiga vita vilivyo vizuri, imani nimeilinda"
Pia hata katika uislam mtu wa kwanza kuuliwa sababu ya kuwa mwislam alakuwa mwanamke.Pia uislam umemempa hadhi kubwa mwanamke lakini hakuna anyejali
 
nimewaza na kila mtu hadi padri kakataa nibadili kasema Mungu hakukosea niwe mkristo na nilaana kubadili dini ya mababu zako so niko njia panda kiukweli nimechoka kabisa.
Unajua hata ungeenda kwa shekh nae angevutia upande wake, unatakiwa uweende kwa washauri walio normal kwenye swala la dini sasa wewe washauri wako wapo juu sana kiimani ni ngumu kukupa perfect ushauri.
 
Mkuu nimerudia kusema kuwa hakuna mtu ambaye anaishi kwa jinsi atakavyo,na hata hapa Tz tunaishi kwa kufuata sheria na taratibu. Lakini ajabu haugusii huko ila umeshikilia dini tu kana kwamba nje ya dini mtu anaweza kuishi atakavyo.

Sheria za nchi tulikubaliana kama watu,tukakubaliana tufuate wote kwa pamoja!Tulikaa tukazitunga sisi kwa utashi wetu kama watu huru!

Na to make it even more suitable,mnapoamua kwa pamoja mnazibadilisha any day of the week!

Sasa sheria za dini mlikubaliana kwenye bunge lipi?

Kufananisha sheria za kwenye kitabu cha dini na sheria za nchi ni ukichaa ulioje!

Vitabu vya dini vimeandikwa na some stupid individuals in the 1st century AD na kuweka uwongo eti wametumwa,with who?Bunch of old jewish dictatorial selfish men!

Choma vitabu vyote.Tuishi kwa utashi wetu wanadamu wenye akili kwa makubaliano ya pamoja kama civilized society of human beings!
 
Sasa Mkuu, hapo umesema mwenyewe kua YESU HAKUJA KUTANGUA SHERIA ZA manabii. Je mbona Mohammad hakua nabii?
Unamuaminije sheria zake, angali sio Nabii kama manabii wengine waliokuwepo zamani?.

Na pia kwanini Hamumpendi Yesu ambaye ni Mkuu zaidi?
Mkuu kwanza unatakiwa ufahamu kuwa Mohamad hakuja na jipya,alichokifanya yeye ni kuendeleza yale yaliyofundishwa na Musa na Isa,..kwa hiyo hata Muhamad hakuja kutengua sheria zilizoletwa kabla yake,..

Nani kasema waislam hawampendi Yesu,kama mwislam huwezi kuwa mwislam bila ya kumkubali Yesu na mafundisho yake, na kila waisalm wanapomtaja Yesu lazima wamuombee dua ya kumlinda huko aliko,..tunampenda Yesu kuliko wakristo,..

Waislam wanafata mafundisho ya Yesu kivitendo,mfano waislamu wanatahiriwa kama alivyotahiriwa Yesu siku nane baada ya kuzaliwa,lakini wakristo hawafanyi hivyo..

Mkuu kwanini tafauti ya Nabii na Mtume!??kwanini unasema Muhamad hakuwa Nabii
 
Unajua hata ungeenda kwa shekh nae angevutia upande wake, unatakiwa uweende kwa washauri walio normal kwenye swala la dini sasa wewe washauri wako wapo juu sana kiimani ni ngumu kukupa perfect ushauri.
Watu wanamisimamo utafikiri walishawai kumuona hata masihi, waafrika wote tumerithi dini, kwakuwa umezaliwa ma muislam unakuwa muislam na ungezaliwa na ukisto ungekuwa mkisto. Sasa hiyo imani kama umemuona yesu au muhammad umeipata wapi dada olewa, achana na maneno ya watu jaribu mwenyewe. Asikudanganye mtu.
 
Wenzetu wanatumia vibaya uhuru wa kuacha huyu na kuoa mwingine.Mi nachotambua kukwaruzana kupo tu hasa kwenye kipindi cha maisha ya wanandoa sasa wenzetu kila mkwaruzo unakimbiliwa kwenye kuachwa tu.


Mmh! Mkuu huo ushaur au ushabiki...

Hivi kama kweli mmependana kuachana kwa mambo madogo kunakujaje...

Ushauri wangu amchunguze uyo mume kama ni muislamu jina au muislamu muumini kwamaana huyo mume anayafanya yale yaliyoamlishwa na Mwenyez Mungu kama kuswali,kufunga mwez mtukufu,kutoa zaka/ kusaidia masikini na tabia yake kiujumla kama anayafanya hayo basi huyo mume ni kheri kwako hivyo ikimbilie na swala LA taraka sahau...

Ila ukibahatiaka kuolewa just play your part achana na mambo ya mashoga,uislamu umekamilika hauwitaji nyongeza so ukibatika tu kuolewa kuwa open mind kujifunza mambo yanayomuhusu mke juu ya mumewe,watoto na jamii kiujumla.

Katika uislamu hasa ktk familia kila mtu anasehemu yake ya majukumu...
Mtume amesema " Kila mtu ni mchunga na kila mchunga ataulizwa alicho kichunga"
Mume...ni mchunga wa mke wake hvyo anawajibu kumnasihi na kumlinda mke wake.
Mke....ni mchunga wa nyumba (watoto+ Mali) hivyo anawajibu kuwalea vizur watoto ktk maadili mema.
Watoto...watoto ni wachunga WA Mali zilzomo ktk nyumba kwa kuzisimamia.

Ila kuna ktu kimoja nikuambia ktk uislamu mke akifanya haya mambo basi akifa ataingia mlango wowote wa pepo aupendao na atapata kher nying apa dunia na kinyume chake maangamio apa dunia na kesho akhera.
1. Kuswali swala tano
2. Kumtii mumewe ktk mambo ya kheri
3. Kufunga mwezi mtukufu WA ramadhan
4.Kujistiri tupu zake kutokana na zinaa na matamanio.

Ukifanya hayo ktk uislamu kuachwa sahau kabisa .
 
MKUU umeharibu hali ya hewa sana daah,..aisee

haya nikuulize naomba uniambie NINI MAANA YA UISLAMU KISHERIA SIO KILUGHA....

NAtaka UKniambie maana ya uislamu kisheria sitaki kilugha kwa sababu kilugha hatuwezi kuhukumu mambo,tunaposema kisheria eidha utoe maana kutoka katika quran na hadith

Neno "Islam" ni neno la kiarabu maana yake ni :- kujikubalisha, kujinyenyekesha, kuitii amri na kukubali marufuku bila kupinga, na kumwabudu Mwenyezi Mungu(ALLAH) pekee..

Neno moja lina maana yote hiyo,..lugha ya kiarabu na kiyahudi hizi lugha ziko katika kikundi cha lugha "Semetic langunge",neno moja linakuwa na maana nyingi tafauti na lugha zetu na ndio maana ni tabu sana kuitafsiri Kuran na kupata maana kamili ya kilichokusudiwa,..

Na ndio maana biblia imeposhwa sana kutokana na tafsi kutoka katika lugha ya Yesu ambayo ilikuwa Armanic kwenda kigiriki kwenda kilatin,..

Armanic lugha yenye mchanganyiko wa kiarabu na kihebrew(kiyahudi)
 
Unaweza kusoma sana na usielewe vilevile, kuitafsiri Biblia sio kama usomavyo gazeti la udaku mkuu ndiyo maana tuna ambiwa tuenende katika roho si kupayuka payuka tu
Mnapoambiwa mwende kwenye roho ndio mnaambiwa msoma na kuyafata yaliyoandikwa kwenye biblia bila ya kufikiri,ufate kama anavyosema mchngaji hata kama anapotosha..

Mkuu mimi sijaongeza changu hapo nimenukuu kama biblia inavyosema sasa nimepayuka nini!??
 
naombeni ushauri mimi ni msichana ambaye kwa muda sijawa na mtu nilitangaza hapa nimepata mtu nimempenda amenipenda.
ila sasa kazi ipo yeye ni muislamu.
naanataka nibadilishe dini.
kwetu ni nope .
ni imani tosha walishakata niolewe na dini tofauti kwao juzi tumeenda hali ndio hiyo.
nimechoka kabisa.
naombeni ushauri.
maana wakristo hawatamkii ndoa ila nikipata waislamu.
wanadai ndoa fasta.
hata miezi sita hafikii.
so niko njia pandaa hadi now.
Kwn kuna mungu wa kikrsto na kiislam? La muhm iman yako na matendo yako.
 
Purpose is overrated!Do you think because u are a human being you have purpose?Selfish thinking of religious human beings,what about other living things?Kwahiyo other organisms are purposeless?Mwanadamu ni living thing asie na tofauti na mnyama mwingine,tofauti ni kua ana akili na sentient,ila ana kila kitu kama wengine,emotions,maumivu,raha,huzuni,emphathy,etc.Hiyo purpose keep for yourselves!

As scientists,we are still looking for answers!Sio kama nyie mnatoa majibu ya kufikirika eti tulijengwa kwa udongo!What the fvck is that nonsense?

Mkuu evolution ni effort tu ya mwanadamu kujaribu kutafuta majibu possible sources za sisi wanadamu.Sio kua ni jibu definite.Tunaendelea kutafuta majibu.Ndio raha ya sayansi.Hatujasema ndio jibu sahihi,ila so far kwa effort ya mwanadamu kwa kutumia sayansi tumefika kwenye Evolution Theory na yenyewe sio perfect,tutakuja kupata majibu sahihi zaidi research zinapoendelea.Anyone with a proven research can prove anything to be right or wrong.Ila kwenu,kilichoandikwa kwenye Biblia au Quran ndio sahihi!Rubbish

Mkuu,Neptune is real.Kwenye space centre kuna tools za kuona na unatuma waves za doppler effect unajua composition yake na kila kitu.Hebu acha kuleta theory za kiajabu.God is not real.Ni fictional character!Deal with it religious people!And again,Fvck your God,haya come and kill me kama umekasirika nimetukana fictional character called God!Dini haina tofauti na superstition,wote mnafanya rituals tu,wewe unafanyia kwenye kanisa yeye anafanyia chini ya mti,ni tofauti ya location tu..ila wote ni wachawi watupu!Nyani haoni kundule!
well, i believe i can't make a blind see. whatever point i give you'll just keep on twisting it. May the almighty guide you to the righteous path.
(and please, you don't have to reply this, i'm tired of this argument)
 
well, i believe i can't make a blind see. whatever point i give you'll just keep on twisting it. May the almighty guide you to the righteous path.
(and please, you don't have to reply this, i'm tired of this argument)

Hahahaaa

The Almighty ani guide kwenye righteous path,maana wewe upo kwenye righteous path?

Almighty wako yupo dini gani?

Naomba nijibu please!
 
Wale jamaa wao ndoa zao wanakaa kwa janvi wakichoma ubani na kunywa uji au Maji tu shughuli imekwisha na tayari ushaitwa mke wa fulani na ikitokea umekwaza hata maaa machache tu baada ya kufunga ndoa Ana uhuru wa kukupiga chini sa ndomana wao ni wepesi sana kutangaza ndoa.

Sisi huku taratibu zipo tofauti na ndefu kidogo, na mwanaume anapaswa ajiridhishe na anayetaka kumuoa maana baada ya kufunga ndoa tu basi anajua wazi kwamba "alichokiunganiha Mungu, binadamu asikitenganishe" hata kama utakuwa na mapungufu kiasi gani anatakiwa avumilie.


Sasa kupanga ni kuchagua, kazi ni kwako.

Umenikumbusha dada mmoja alitaka kutapeliwa na maaustaaz akidanganywa asaini mkataba wa kazi kumbe ni cheti cha ndoa.
 
Usikubali kubadili dini kisa ndoa INA maana mukiachana ukikutana na mkristo utabadili tens? Tafuta mkristo tena in ikiwezekana awe RC kama ww
 
Usikubali kubadili dini kisa ndoa INA maana mukiachana ukikutana na mkristo utabadili tens? Tafuta mkristo tena in ikiwezekana awe RC kama ww
yaani ukitangazaga humu watoto balaa hawaeleweki
 
Back
Top Bottom