Mkuu sijawahi kuikashifu dini ya kikristo hata siku moja na wala siwezi kuikashifu,kama umesoma koments zangu mimi nawakubali hata wale wanaoabudu Miti..
Kama hujui unatakiwa ujue kuwa waisalam bila ya kumkubali Isa(yesu) basi sio mwislam,kwa mantiki hiyo mwislam hawezi kumkashifu Isa(Yesu)..
Uislam umejengwa kama ni dini endedelezi kutoka kwa Ibrahimi,Musa,Daudi,Yesu na kwa maana hiyo kuwa dini ya kiislamu inafata yale yote aliyofanya na kuhubiriwa na Yesu(Isa),kwababu Isa na yeye kaendeleza yale aliyokuja nayo Musa kama biblia inavyosema katika
matayo 5:17
17) "Think not that I am come to destroy the law, or the prophets: I am not come to destroy, but to fulfil."
17)“Msidhani kwamba nimekuja kufuta sheria ya Musa(taurat) na mafundisho ya manabii. kwamba mpaka mbingu na dunia zitaka potoweka, hakuna hata herufi moja ya sheria itakayopotea mpaka shabaha yake ikamilike."
Mkuu hapo nimekuwekea tafsiri mbili utaona kuwa ya kiswahili kuna maneno yamezidishwa,sijui kwanini lakini ndio mambo yanvyochanganya katika bibilia...
Kwa ufupi Yesu kaja kuyaendeleza sheria za kitabu cha Musa "taurat",Muhamad na yeye kateremshiwa Quran kuja kuyaendeleza ya Musa na ya Yesu,..na ndio maana moja katika suna ya Isa(Yesu) ambayo waislamu tunaifata ni kutahiriwa,"
Je wewe umetahiriwa ,je wewe unamfuata yale aliyohuburi na kufanya Yesu,au unafaata yale aliyohubiri Paulo!!??
"Kafiri" ni neno wanalotumia waislam kuwaita wakristo,kwa kwelli waislamu wanawaita wakristo wamakafiri wanakuwa sio waisalam kwani waisalam tunatakiwa tuwakubaili "ahlil kitabu" watu walioteremshiwa vitabu,..
"kafiri" maana yake ni mtu asiekuwa na dini