auferet dominus
JF-Expert Member
- Jul 18, 2017
- 1,804
- 1,292
Wewe hapa ulikuja ukitaka kuwakashifu wakristo kuwa dini yao sio ya haki yako hiyo hiyo iloteremshwa sijui na nani ndo ya haki. Ukataka kuaminisha watu kuwa yesu aliwatenga wengine akawabakisha waisraeli. Baya zaidi ukatuletea mistari ya bible uliyokaririshwa na mwalimu wako wa madras. Sasa tunakwambia wanaomfata kristo ndio waisraeli wa kiroho hivyo hawana wasiwasi kiwa hayo maneno uliyoyanukuu yanawahusu wao pia kwa mujibu wa Wagalatia 3:29.Dini zote zinatokana na Ibrahimu(radhiyallahu annu= Radhi za mwenyezi mungu zimfikie),Ukatoliki ni dini gani?!,nani mtume wa dini inayoitwa Katoliki,kama umekusudia "Roman catholic" jina linajieleza wenyewe,..
Je Roman Catholic ni dini iliyoletwa na Yesu,Je Yesu aliwambia wanafunzi na wafuasi wake kuwa anayoyahubiri ni ukatoliki!!?,
Mimi sijaongeza chochote isipokuwa nimeweka mistari kutoka katika BIBLIA,Au unapinga maandiko ya BIBLIA!!??kama hupingi sasa hasira za nini!!??
Je Ugalatia ni kitu gani!!,
Mkuu mimi ni mwislam dini yangu inafata mafundisho ya Ibrahim,ya Musa,ya Daudi,ya Isa(yesu) na ya Muhamad
Sasa hizi bla bla zingine ondoka nazo haziko relevant na ulichokileta mwanzo kafiri we