Karibu kaka,tuko pamoja,nasoma biblia kila siku,,,,Mungu alimleta Yesu kuwaokoa wana wa Israel tu sio bibadamu wote Matayo 15:24 "“Nimetumwa tu kwa ajili ya kondoo wa Israeli waliopotea.”
Yesu alipowatuma wafuasi wake wakahubiri Injili mjini,aliwambia msiende kuhubiri kwa kila mtu nendeni kwa wana wa Israel tu.. Matayo 10:5-15
Nakuwekea mistari wa 5 mpaka wa 7 nini biblia inasema kuhusu Yesu na alikuja kwa ajili ya kina nani,-..
Matayo 10:5-7:-
5) Yesu aliwatuma hawa kumi na wawili, akawaagiza, “Msiende kwa watu wa mataifa wala msiingie mji wo wote wa Wasamaria.
6) Bali waendeeni kondoo wa nyumba ya Israeli waliopotea.
7) Na mnapokwenda, hubirini mkisema, ‘Ufalme wa mbinguni umekaribia
Karibu katika dini ya ukweli,dini isiobagua,dini ya kiislamu