auferet dominus
JF-Expert Member
- Jul 18, 2017
- 1,804
- 1,292
Hivi dada ukigundua ana ukimwi pasipo shaka saa hii ukakimbilia Angaza ukapima ukakuta hujaambukizwa utawndelea kusema unampenda? Nahisi utakuwa na jibu fulani hivi. Sasa hicho kinachokufanya usite na kituuliza hakina tofauti na ukimwinaombeni ushauri mimi ni msichana ambaye kwa muda sijawa na mtu nilitangaza hapa nimepata mtu nimempenda amenipenda.
ila sasa kazi ipo yeye ni muislamu.
naanataka nibadilishe dini.
kwetu ni nope .
ni imani tosha walishakata niolewe na dini tofauti kwao juzi tumeenda hali ndio hiyo.
nimechoka kabisa.
naombeni ushauri.
maana wakristo hawatamkii ndoa ila nikipata waislamu.
wanadai ndoa fasta.
hata miezi sita hafikii.
so niko njia pandaa hadi now.