Miss iyna powers
Member
- Apr 26, 2018
- 45
- 69
In Islam ninavojua mm ni kharaaaam kumuingilia mtu kinyume na maumbile na hata Kama ni mke basi unarhusiwa kuondoka ukarudi kwenu ukatulia kaumu Lut waligharikishwa kwa sababu ya kulawitiana sasa hiyo no.4 ndo kwanza naickia Leomimi meogopa kubadili.
1.talaka
2.kupigwa
3.eti mwanaume ni Mungu wako wewe ni kijakazi wake.
4.eti hata ukiwa kwenye hedhi au kuumwa utafute njia ya kumtimizia mume wako so unampa tigo au halafu akikuforce hashtakiwi wala nini haki.
5.eti wewe hurusiwi kuongea kitu kupinga kitu yeye na ndugu zake ndio wapangaji.
6.watoto na mama wao wapo tu.
so mimi ht kama anahela nakila kitu nimeghairi
no.1 kiuhalisia talaka Mungu anaichukia ni ruhusa kuacha if hakuna hata little chance ya kuendelea na ndoa na ukiachwa sheria ya eda miez mitatu km ni mjamzito hadi ujifungue ukae humo humo ndani kwa mume vyumba tu tofaut hwenda ikapita fatwa mkasameheana na kuridiana
No.2 kipigo ni tabia ya mtu na sio dini iliohalalisha mume ampige mke na tunashuhudia wanaume tofaut wanapiga wake zao na wengine hawana dini
No 3 ni utiifu tu wa nidhamu kwa mume wako ila haupaswi kumtegemea kiumbe yeyote isipokua Mungu na sio kweli km lzma umtii kwa kila analolitaka ni utiifu tu km unavyowatii wazazi wako jema unakubal na baya una uhuru wa kukataa
No.5 na namba sita ni hivo hivo
Mtoa Mada ungefanya utafiti kwanza ukazielewa sheria za dini usifate mkumbo inaonesha hata huko RC si muelewaji wa dini usingefika kabisa hapa imani hasa ikikukaa moyoni hufikirii hata kubadili na kufika kuomba ushaur shida ya binadam inakuja pale unapochanganya matendo ya mtu na imani yake kwa mfano mimi kitu ambacho sijawah kupoteza hata sekunde kufkiria kubadili basi ni dini nimezaliwa nayo nimekua nayo na nitakufa nayo wakunibadilisha hayupo kwa mtu na haitowezekana hata niishi miaka yote bila mume