Ni sahihi mimi nitoke kwenye Ukatoliki niwe Muislam?

Hicho unachosema haki apply kwangu kwani mimi niliamua kufuata kitu cha tofauti na vile nilivyozaliwa au imani ya wazazi.

Hivyo mimi nipo mbali sana na unavyofikiri,mbali sana na concept ya dini.
Na hakuna nilipotaja dini,hata hivyo kufuata wanachoamini wazazi ni njia moja tu katika njia zinazomfanya mtu awe na imani fulani kuna njia nyingi tu.

Hivyo kwa chochote kile unachoamini na kwa njia yeyote ile,ila vile vile tu kwamba nawe unaonekana umepotea kwa wengine kama wewe uwaonavyo.
 
TZ Mbongo,

Hutakaa unielewe kabisa!

Dini ni dictatorial system based on intimidation and lies.Huwezi refute hili.

In recent human history,Laws of the land,zinajengwa kwa makubaliano ya watu kidemokrasia..

Binadamu tumetoka mbali,kuanzia dark ages huko,kings and queens walikua ndio wanamiliki watu,ila tume-fight,tumetumia akili zetu wanadamu tuka-improve mpaka leo walao tuna demokrasia,tunapanga mambo yetu na sheria zetu kwa makubaliano na tunazibadili kwa makubaliano muafaka.Sijui kwanini unaita huu sio uhuru?I real dunno yo line of thinking 'bout this.

Chuki ni human reaction,ni natural,mawe hayawezi kua na chuki,ni kwa ajili yetu sisi viumbe hai..sasa sijui unanilaumu vipi kwa kua kiumbe hai!

Sipendi dini,siwezi kukudanganya au kuongea unafiki hapa...It has done more harm than good on this planet...I can never like it..Usinilazimishe...Wewe refute my claims kwa hoja na sio unifundishe how to feel about myself.

Wewe unapenda dini,good for you!Leave us who hate it the fvck alone!It is our right to shit on it,likewise you on us!

I guess,we can agree to disagree,thanks for your time sir!
Hakuna nilipokwambia usichukie dini bali nimekwambia uweke chuki pembeni ili tujadiliane na si kujenga hoja kwa kutumia chuki tu na ndiyo maana hatuelewani.

Hata hivyo bora tukubali kutokukubaliana maana kumbe wewe unazungumzia udikteta.
 
acha ujinga ww ,utajuta vibaya mno,wanaume hawaaminiki anakupenda saiv uko mbele atakutesa sana ,pia jiandae kuongezea wake wenza ,kama upo tayr badili tu mamiii .
 
Hakuna nilipokwambia usichukie dini bali nimekwambia uweke chuki pembeni ili tujadiliane na si kujenga hoja kwa kutumia chuki tu na ndiyo maana hatuelewani.

Hata hivyo bora tukubali kutokukubaliana maana kumbe wewe unazungumzia udikteta.

Mkuu

Kitu gani kinachomhusu Mungu muweza wa yote,mwenye upendo wote,asie na mwanzo wa mwisho,yupo awaye,asie tenda ovu lolote,etc..

Kitu hicho hicho kijengwe kwa misingi ya uongo,udikteta,chuki,ubaguzi,etc..kitu hicho kiitwe dini..halafu wewe unakuja leo kuniambia ni kitu sahihi?Really?...Kwahiyo ni sawa dini kua na 'udikteta'?Like,really,my nigga?

Chuki yangu imekuzuia nini wewe kutoa hoja zako?Na sikuchukii wewe,nachukia dini as a stupid system mkuu,usichanganye kabisa!

Halafu tunazungumzia Mungu hapa,jitu lenye nguvu kulicho chochote,mwenye enzi zote,asie fananishwa na yeyote au chochote...

Cha ajabu anashindwa kazi zake mpaka anaomba nyie wanadamu mumsaidie kutangaza neno lake...halafu yupo very naive na unstable kisa asiposaliwa ana chukia..what a douchebag!...

Ana wivu,hasira,mbaguzi,roho ya kwanini,muuaji,katuletea shetani yeye halafu aje akuchome,he is a root of all evil.If at all he exists of which no one on earth has a thread of evidence he exists.

Thank you sir for your incredible time!
 
30 miaka bado unachagua dini mwanamke hanaga dini mwanamke dini yake moyo wake tu ukipenda basi
 
Ndoa ni jambo la kiimani na dini ni mfumo wa maisha.

Wrong!

Ndoa sio "imani" ni makubaliano ya kuishi pamoja ya watu wawili walioridhiana..Ni basically mkataba...In more real terms ni business transaction..do not lie!

Dini sio mfumo wa maisha....ni system ya watu waliojichagua kwa utashi wa bongo zao wenyewe na kudanganya wanadamu wengine eti wametumwa na Mungu ambae hayupo na hajawahi watuma maana hakuna ushahidi wa hilo.

Watu hao wanajiweka kwenye daraja la watawala na watawaliwa ndio waumini,ni mfumo wa kinyonyaji maana una madaraja mawili tayari.

Wao wanajiweka kua ni daraja kati ya muumini na Mungu,ambapo huwezi kwenda au kupata uhusiano na huyo Mungu moja kwa moja bila kupitia kwao kwanza!Kiburi hiki cha mamlaka ya uongo kabisa wamejipa ili kuwatawala vizuri waumini.

Kumbuka waanzilishi hawa wa hizi dini ni wanadamu wenye madhaifu yote ya kibinadamu kama wanadamu wengine ambao ni waumini.Hizi nguvu za juu ya wanadamu wengine wamezipata wapi?Hazipo,ni uongo!

The fun fact is that,the highest percent of obidient follwers are proven to be stupid people kwa mujibu wa surveys and numerous researches done

Dini,dini,dini....most ruthless system to ever happen to humanity...
 
Na hakuna nilipotaja dini,hata hivyo kufuata wanachoamini wazazi ni njia moja tu katika njia zinazomfanya mtu awe na imani fulani kuna njia nyingi tu.

Hivyo kwa chochote kile unachoamini na kwa njia yeyote ile,ila vile vile tu kwamba nawe unaonekana umepotea kwa wengine kama wewe uwaonavyo.

Hili siyo swala la kuonekana na watu,hiki ni kitu kingine kabisa mkuu.

Unataka kujenga hoja kua hakuna jema au zuri(no morrality) kwasababu kile mimi nachoona kizuri kwa mwenzangu kibaya na ninachoona kibaya kwa mwenzangu kizuri.

Swali ni Je kuna imani au waumini walio na akili timamu wanaoona ni halali kumwingilia mwanamke kinyume na maumbile??

Je ni muumini gani mwenye akili timamu anayeona ni halali kufanya ushirikina ,kufuga na kutengeneza majini??

Je ni muumini gani mwenye akili timamu anayeona ni halali kusujudia na kuabudi kaabar(kijiwe cheusi ndani ya kibox)

Naomba majibu tafadhali
 
Mkuu

Kitu gani kinachomhusu Mungu muweza wa yote,mwenye upendo wote,asie na mwanzo wa mwisho,yupo awaye,asie tenda ovu lolote,etc..

Kitu hicho hicho kijengwe kwa misingi ya uongo,udikteta,chuki,ubaguzi,etc..kitu hicho kiitwe dini..halafu wewe unakuja leo kuniambia ni kitu sahihi?Really?...Kwahiyo ni sawa dini kua na 'udikteta'?Like,really,my nigga?

Chuki yangu imekuzuia nini wewe kutoa hoja zako?Na sikuchukii wewe,nachukia dini as a stupid system mkuu,usichanganye kabisa!

Halafu tunazungumzia Mungu hapa,jitu lenye nguvu kulicho chochote,mwenye enzi zote,asie fananishwa na yeyote au chochote...

Cha ajabu anashindwa kazi zake mpaka anaomba nyie wanadamu mumsaidie kutangaza neno lake...halafu yupo very naive na unstable kisa asiposaliwa ana chukia..what a douchebag!...

Ana wivu,hasira,mbaguzi,roho ya kwanini,muuaji,katuletea shetani yeye halafu aje akuchome,he is a root of all evil.If at all he exists of which no one on earth has a thread of evidence he exists.

Thank you sir for your incredible time!
Duh! Sikujua kama unataka tujadili uongo au usahihi wa dini ama suala la uwepo wa mungu.

Kusema ukweli sikujua kama wewe upo huko.
 
Wrong!

Ndoa sio "imani" ni makubaliano ya kuishi pamoja ya watu wawili walioridhiana..Ni basically mkataba...In more real terms ni business transaction..do not lie!

Dini sio mfumo wa maisha....ni system ya watu waliojichagua kwa utashi wa bongo zao wenyewe na kudanganya wanadamu wengine eti wametumwa na Mungu ambae hayupo na hajawahi watuma maana hakuna ushahidi wa hilo.

Watu hao wanajiweka kwenye daraja la watawala na watawaliwa ndio waumini,ni mfumo wa kinyonyaji maana una madaraja mawili tayari.

Wao wanajiweka kua ni daraja kati ya muumini na Mungu,ambapo huwezi kwenda au kupata uhusiano na huyo Mungu moja kwa moja bila kupitia kwao kwanza!Kiburi hiki cha mamlaka ya uongo kabisa wamejipa ili kuwatawala vizuri waumini.

Kumbuka waanzilishi hawa wa hizi dini ni wanadamu wenye madhaifu yote ya kibinadamu kama wanadamu wengine ambao ni waumini.Hizi nguvu za juu ya wanadamu wengine wamezipata wapi?Hazipo,ni uongo!

The fun fact is that,the highest percent of obidient follwers are proven to be stupid people kwa mujibu wa surveys and numerous researches done

Dini,dini,dini....most ruthless system to ever happen to humanity...
Jamaa una jazba duh! Hebu tuliza jazba.

Unaeleza vitu vingi kwa msukumo wa hiyo chuki ndiyo maana nimekuomba uweke chuki pembeni ili tujadiliane kwa hoja.
 
Hili siyo swala la kuonekana na watu,hiki ni kitu kingine kabisa mkuu.

Unataka kujenga hoja kua hakuna jema au zuri(no morrality) kwasababu kile mimi nachoona kizuri kwa mwenzangu kibaya na ninachoona kibaya kwa mwenzangu kizuri.

Swali ni Je kuna imani au waumini walio na akili timamu wanaoona ni halali kumwingilia mwanamke kinyume na maumbile??

Je ni muumini gani mwenye akili timamu anayeona ni halali kufanya ushirikina ,kufuga na kutengeneza majini??

Je ni muumini gani mwenye akili timamu anayeona ni halali kusujudia na kuabudi kaabar(kijiwe cheusi ndani ya kibox)

Naomba majibu tafadhali
Tatizo nachookiona ni chuki kwa uislamu tu sioni kingine,maana toka mwanzo umekuwa ukishambulia uislamu na waislamu kwa maelezo kama hayo.

Kama ndiyo upo huko mie sipo.
 
Duh! Sikujua kama unataka tujadili uongo au usahihi wa dini ama suala la uwepo wa mungu.

Kusema ukweli sikujua kama wewe upo huko.

Mkuu

Wewe upo wapi?Wewe una discuss nini hasa?

Kila topic wewe haupo huko,upo wapi sasa?
 
Jamaa una jazba duh! Hebu tuliza jazba.

Unaeleza vitu vingi kwa msukumo wa hiyo chuki ndiyo maana nimekuomba uweke chuki pembeni ili tujadiliane kwa hoja.

Mkuu

Chuki,ni emotional feeling ambayo tunapata sisi sentient beings...sasa sijui unataka mawe ndio yawe na chuki?It is our feeling,I cant apologize for it!

Shida sio chuki,niambie nilichosema cha uongo mkuu!
 
Tatizo nachookiona ni chuki kwa uislamu tu sioni kingine,maana toka mwanzo umekuwa ukishambulia uislamu na waislamu kwa maelezo kama hayo.

Kama ndiyo upo huko mie sipo.

Mtu anekuambia ukweli utasema ana chuki nawewe,huyo anakupenda,mimi ninawapenda waislam ndio maana nawaambia ukweli,sitaki wapotee Jehanum,nina uchungu na maisha yao
 
It is really funny to see how religion can hold people into captivity!

This is one of them!

Thats why I hate religion with passion!

Religion is the system so lethal,it tells you how to think and live,and if you disobey kwa kujua au kutokujua eti utaadhibiwa kwenye moto wa milele...This is pure lunacy!

How can two adult human beings being told who to love and who not to love?Utampangia mwanadamu yupi ampende au kumchukia?Stupidity!
Mkuu Wyatt Mathewson

Hiyo ndiyo comment ya kwanza mie kuku quote na nilichokisema ni kwamba hakuna mtu ambaye yupo huru,ila ajabu mkuu ukaubadili mjadala na kuufanya wa kujadili masuala ya kuwa dini ni uzushi na masuala kutokuwepo mungu ukayaingiza humo pia.
 
Usikimbilie ndoa ukaukondesha moyo wako.. Kkasim alijiimbia. Sikh hamu ya ndoa ikikutoka utajuta kubadili dini.
 
Mkuu

Chuki,ni emotional feeling ambayo tunapata sisi sentient beings...sasa sijui unataka mawe ndio yawe na chuki?It is our feeling,I cant apologize for it!

Shida sio chuki,niambie nilichosema cha uongo mkuu!
Mkuu huwezi ukamdhuru mtu tu kwa sababu unamchukia halafu ukaeleza hivyo uelezavyo na ukategemea kueleweka,sasa unachokifanya hapa ni mashambulizi tu kwa dini kwa sababu ya msukumo wa chuki.

Na ndiyo maana nakwambia kama unataka tujadiliane kwa vizuri basi weka chuki pembeni.
 
Mkuu Wyatt Mathewson

Hiyo ndiyo comment ya kwanza mie kuku quote na nilichokisema ni kwamba hakuna mtu ambaye yupo huru,ila ajabu mkuu ukaubadili mjadala na kuufanya wa kujadili masuala ya kuwa dini ni uzushi na masuala kutokuwepo mungu ukayaingiza humo pia.

Nani kakwambia duniani watu wote hawapo huru?Umejuaje?
 
Back
Top Bottom