Tz mbongo
JF-Expert Member
- Mar 12, 2015
- 13,332
- 7,351
Na hakuna nilipotaja dini,hata hivyo kufuata wanachoamini wazazi ni njia moja tu katika njia zinazomfanya mtu awe na imani fulani kuna njia nyingi tu.Hicho unachosema haki apply kwangu kwani mimi niliamua kufuata kitu cha tofauti na vile nilivyozaliwa au imani ya wazazi.
Hivyo mimi nipo mbali sana na unavyofikiri,mbali sana na concept ya dini.
Hivyo kwa chochote kile unachoamini na kwa njia yeyote ile,ila vile vile tu kwamba nawe unaonekana umepotea kwa wengine kama wewe uwaonavyo.