chabuso
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 6,380
- 5,884
Naomba utembelee hiyo link hapo chini maulamaa wenzako watakuelewesha uujue uislam
Muslim scholars agree that Mohammed sodomized child Aiysha
Haina haja ya kutembelea hiyo link Mkuu,Mimi ni mwislam naujua uislam,naujua ukiristo vile vile,namkubali Yesu kama Mtume wangu,lakini smkubali Mafundisho ya Paulo,..
Mkuu unajua kuwa asilimia 70% ya maandishi ya biblia ni mafunzo ya Paulo!!??,Mimi nafuata mafunzo na gospel ya Yesu sio ya Matayo,Luka,Yohana nk,,,lakini sikufahamu kwanini umeleta huu uzi,au mistari ya Biblia niliyokuwa naweka imekugusa!!?
Turudi kwenye hoja,Aliyoyafanya Mohammad miaka hiyo ilikuwa ni itikadi na mila za makabila mingi dunia nzima,mfano mama angu aliolewa ana miaka kumi na moja,(10) hapa Tanzania wakati huo
Marekani na Ulaya imeacha kuwaozesha watoto wadogo katika karne ya kumi na tisa,mpaka 2006 ilikuwa ni halali kumuoa mtoto wa miaka 12 kule Marekani katika baadhi ya majimbo,mtoto wa kike wa miaka kumi na mbili anaochukuliwa kama mkubwa..
Katika Uislam mtoto wa kike akiwa amesha balekhe,ameshafika siku zake za kupata hedhi, anachukuliwa kama mkubwa,lakini sheria inasema haina maana mtoto umuoe kwa kumwingilia kimapenzi,unamchukua mkeo kwa kumuweka ndani kwa kumlea,kumbuka kuwa uislam ni ruhusa kuoa wake wanne(4)..
Sheria za ndoa katika dini ya kiisalm imelenga kumlinda na kumuenzi mwanamke ili kupunguza umala na uhasaharati katika nchi husika,kwavile wanawake wanazaliwa wengi kuliko wanaume, mafano hivi sasa kila mwanamme wa kitanzania anatakiwe awe na zaidi ya wanawake watano ili kufanya kila mwanamke apate mume..
Anyway,hayo mambo ya Muhamad ya kuoa mtoto mdogo hayatuhusu sisi waafrika hizo ni propaganda za wakristo wa ulaya kuhusu uislam,..
Huku Afrika mpaka leo kuna makabila mengi tu wanaoa watoto wakike pale tu wanapopata siku zao(hedhi) kwa mara ya mwanzo yaani kuanzia miaka 10,11,12
Je ukristo unasemaje kuhusu mwanamke wa kikiristo hasa kuhusu ndoa??