king otaligamba
JF-Expert Member
- Oct 24, 2016
- 2,178
- 2,033
Kama sikosei ww ndio unataka mwanaume wa kumuoa siye au ndiye?Niliachana naye
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama sikosei ww ndio unataka mwanaume wa kumuoa siye au ndiye?Niliachana naye
CkuelewiKama sikosei ww ndio unataka mwanaume wa kumuoa siye au ndiye?
Una hami na majini wewe naona..!Naombeni ushauri,
Mimi ni msichana ambaye kwa muda sijawa na mtu nilitangaza hapa nimepata mtu nimempenda amenipenda ila sasa kazi ipo yeye ni muislamu.
Nanataka nibadilishe dini kwetu wana imani tosha walishakata niolewe na dini tofauti kwao juzi tumeenda hali ndio hiyo nimechoka kabisa.
Naombeni ushauri maana wakristo hawatamki ndoa ila nikipata waislamu wanadai ndoa fasta
hata miezi sita hafikii so niko njia panda hadi now.
SijakupataKama sikosei ww ndio unataka mwanaume wa kumuoa siye au ndiye?
Je wewe hunahamu ya mapepo wewe??Una hami na majini wewe naona..!
Kama wapo ni Wachache na mara nyingi wataegemea dini ya jamii inayowazunguka. Kama mpagani alizaliwa Pemba au Zanzibar(definetely kwa asilimia 99 atakua Muislam) lakini akizaliwa Mbeya au Njombe(kwa uhakika ziadi ya asimia 90 atakua Mkristo)!Mkuu kuna watu wamezaliwa katika familia za kipagani, lakini wakisha kukua na kujitambua wanaingia dini wanayoichagua wenyewe, sasa hapo unasemaje eti wameridhi kwa wazazi? Kuna sababu nyingi. Lakini kubwa ni kuaminishwa kuhusu maisha ya kiroho ambayo ndiyo faraja ya maisha ya baadae.
Naongezea msumari wa nchi 8 hapo hapoTena kwa maumari wa 6"
Hii ni point aiweke kwy kichwa chake, hakuna aliyemuacha yesu akapeta kimaishaYesu ni njia na kweli na uzima mtu haji kwa Baba ila.....angali kuna roho inakufuatilia,kama wazazi wamekukatalia wasilikilize wazazi.
Ushauri mzuri huu watu wa dini kwl hawatoelewahapo suluhisho wote muokoke muachane na dini muufuate uwokovu katika YESU KRISTO ndio mtaiona amani ya ndoa yenu. watu wa dini hawataweza kunielewa hapa zaidi watakejeli na kutukana.
Kweli yeye mwenyewe alisema anayemwamin atapata uzima wa milele asiyemwamini atahukumiwa.Hii ni point aiweke kwy kichwa chake, hakuna aliyemuacha yesu akapeta kimaisha
Kama unataka kujiunga na Boko Haram, Janjaweed, Al-Qaeda then badili tu dini[/QUOTE
Hahahahah
HahahahahKama unataka kujiunga na Boko Haram, Janjaweed, Al-Qaeda then badili tu dini