Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Saa 12 niko mjengoniWewe huwa unarudi saangapi?[emoji3]
Usingizi mtamu ni ule ambao haukatizwi katizwi. Mwili unapumzika sawa sawa. Mfumo dume ndio unasumbua hapo! Jamani mke si mtumwa wakoKwa nini alale kabla jamaa hajarudi?
Mke angekuwa na pesa Wala asingekuomba ushauri.Kwema wakuu?
Kuna jamaa angu tuko nae hapa kwa mama B grocery tunapiga vyombo katumiwa na mkewe hii text. Kaniomba ushauri amjibu nini mkewe.
"Najisikia kuchoka nahitaji kupumzika, uwe unatoka na funguo kupunguza usumbufu"
Ni sahihi mkewe kumtumia huu ujumbe?
Kama anarudi usiku sana ni sawa tu.Kwema wakuu?
Kuna jamaa angu tuko nae hapa kwa mama B grocery tunapiga vyombo katumiwa na mkewe hii text. Kaniomba ushauri amjibu nini mkewe.
"Najisikia kuchoka nahitaji kupumzika, uwe unatoka na funguo kupunguza usumbufu"
Ni sahihi mkewe kumtumia huu ujumbe?
Huyo sio mke bali ni girlfriendKwema wakuu?
Kuna jamaa angu tuko nae hapa kwa mama B grocery tunapiga vyombo katumiwa na mkewe hii text. Kaniomba ushauri amjibu nini mkewe.
"Najisikia kuchoka nahitaji kupumzika, uwe unatoka na funguo kupunguza usumbufu"
Ni sahihi mkewe kumtumia huu ujumbe?
Rudi ukachukue funguo, ukifika unakuta hajatoka ndani ya blanketi wa moto unapata kimoja ndo anaamka kukupa chakula cha mezani.Kwema wakuu?
Kuna jamaa angu tuko nae hapa kwa mama B grocery tunapiga vyombo katumiwa na mkewe hii text. Kaniomba ushauri amjibu nini mkewe.
"Najisikia kuchoka nahitaji kupumzika, uwe unatoka na funguo kupunguza usumbufu"
Ni sahihi mkewe kumtumia huu ujumbe?
Wewe na jamaa yako mna vimwlea vya ufaller.Kwema wakuu?
Kuna jamaa angu tuko nae hapa kwa mama B grocery tunapiga vyombo katumiwa na mkewe hii text. Kaniomba ushauri amjibu nini mkewe.
"Najisikia kuchoka nahitaji kupumzika, uwe unatoka na funguo kupunguza usumbufu"
Ni sahihi mkewe kumtumia huu ujumbe?
Wakati umesema uko Grocery unapata vyombo!!!!Hajui hata niko wapi nafanya nini?
Kumbe ni wewe na wala siyo rafiki yakoKazi yake ni nini sasa?
Yaani kuna ufunguo mmoja tu!!!✓ Wakati mwingine funguo inaweza kupotea kisha ikawa msala kwa aliyefungiwa mlango kwa nnje kwa ATHARI zifuatazo;
1. Mke anaweza kuhitaji msaada wa ghafla ikiwa anaumwa na msaada zaidi wa karibu ukawa ni mumewe lakini bahati mbaya mtendao wa simu usiwe vizuri.
2. Anaweza kuzidiwa akashindwa kujikongoja hadi kufungua geti ili apate msaada hata toka kwa Jirani au kwa wapita njia.
✓ "Usumbufu" inamaana kurudi kwa Mumewe ni kero kwake ilihali usikute ni yeye mwenyewe ndiye sababu ya Mumewe kurudi usiku sana home tokana na gubu.
✓ Haiba ya kike huanzaga kuondoka kwa jinsi ujumbe unavyowasilishwa kwa Mumewe kwa lugha isiyo rafiki kimahusiano maana Me yeyote ajitambuaye hupenda utii toka kwa Mke.
✓ Watu wengi wameandika kimuhemuko bila ya kuangalia upande wa Me unasababishwa na ulazima upi hadi awe anamgongea Ke wake kufungua geti.
✓ Me anaweza kuajiri House Girl akawa anatelekeza yote kisha akawa Mke mwenza wa huyo Mke halali wa ndoa sababu ya uvivu wa kijinga.
Nawahurumia wanawake wanaotegemea 100% of their needs from their husband. 99.9% watakuwa wanateseka na kunyanyasika sanaUkitimiza wajibu 100% hata ukirudi saa kumi yeye ataweka alamu saa 9 ili usigonge mda mrefu. Ila kama unasua sua na majukumu yako kwamba na yeye anaenda kutafuta kusaidia familia, chukua funguo tu.
Kabisa!!Mi naona yupo sahihi.. kumuamsha mtu aliyelala akufungulie sio fair