Ni sahihi mkeo kukutumia text kama hii?

Ni sahihi mkeo kukutumia text kama hii?

Yupo sahihi, huo muda ni wa kukaa na mkeo ndani, we upo bar unapiga vyombo, kisha mwenzio akiwa kapumzika ndio uanze kumsumbua akufungulie mlango

WE KUWEZA?
Halafu mpaka mwanamke anaamua kulala hiyo itakuwa ni kuanzia kwenye saa 4 usiku na kuendelea
 
Nawahurumia wanawake wanaotegemea 100% of their needs from their husband. 99.9% watakuwa wanateseka na kunyanyasika sana
Hawateseki, wanapenda. Hakuna mwanamke asiyependa ulinzi 100%, mavazi 100%, matibabu 100%, Kupendeza 100%, burudani asilimia 100% n.k

Huwa wanaomba MUNGU amfanye mwanaume awe tajiri halafu awe wake peke yake na yeye atamuhudumia mahitaji yake.

Na sisi tunataka huduma gani zaidi ya kula vizuri, ngono na uzao wetu uwe na malezi mazuri?
Sema sasa na sisi wanaume tukishakuwa nazo za kutosha wakati mwingine tunawapa sababu ya kujuta kututegemea.
 
Nasema hata baba yangu sijawahi ona akitembe na funguo na either mama au sisi tulikuwa tunamfungulia mlango ila alikuwa harudi saa 8 za usiku... hii case mwanaume anarudi saa 2 sasa why mwanamke asifungue mlango??
Wapi kaandika anarudi saa 2?
 
Kwema wakuu?

Kuna jamaa angu tuko nae hapa kwa mama B grocery tunapiga vyombo katumiwa na mkewe hii text. Kaniomba ushauri amjibu nini mkewe.

"Najisikia kuchoka nahitaji kupumzika, uwe unatoka na funguo kupunguza usumbufu"

Ni sahihi mkewe kumtumia huu ujumbe?
Ashukuru katumiwa ujumbe.
Ingekuwa mie ningemkabidhi asubuhi tunapoachana.

Akitoka kwenye starehe zake ajifungulie mlango. Unless rafiki yako hana vidole????

Otherwise mke sio BUTLER wa kumsubiri BWANA MKUBWA ARUDI KWENYE POMBE ZAKE AMFUNGULIE
 
Kwema wakuu?

Kuna jamaa angu tuko nae hapa kwa mama B grocery tunapiga vyombo katumiwa na mkewe hii text. Kaniomba ushauri amjibu nini mkewe.

"Najisikia kuchoka nahitaji kupumzika, uwe unatoka na funguo kupunguza usumbufu"

Ni sahihi mkewe kumtumia huu ujumbe?
Kwanza angalia hata muda uliyotuma. Bado uko Bar unakunywa!!!
 
Rudi hata na "kifuniko Cha Asali" au hata kilo ya sukari basi, aagh ana haki ya kugomewa kufunguliwa, Mimi nachelewa Kurudi na nafunguliwa kwa bashasha, nakaribishwa dining, nanawishwa mikono, nakaribishwa msosi, anaombea msosi then naandaliwa Maji ya kuoga aagh tukifika chumbani, anasali na ananiombea ndio tunalala
Mambo si hayo[emoji8]

MTU anarudi ananuka pombe tu,

Halafu hakuna kitu inakera kuamshwa aisee


Nahisi yatanishinda.
 
Hajui hata niko wapi nafanya nini?

Wanawake wako hivi ndugu, mazoea unayowapa ndio yatafanya wakuulizie uko wapi. Wakiona ni bingwa wa kukesha nje na wakati mwingine wakikuuliza ugomvi unaanza, wanajikalia kimya. Hebu jaribu kutokuwa predictable, leo unawahi kesho unachelewa, and ukiulizwa unajibu kistaarabu uone.
 
Back
Top Bottom