Ni sahihi mkeo kukutumia text kama hii?

Kwa mm naona mwanamke anakosea mumeo kaenda kutafuta alafu uwambie unachoka kufungua mlango kwanza unapata wapi ujasili wakulala bila kumuona mumewako kama ameludi salama na anapo pita kumwagilia moyo sio jambo baya sema kunashida nyingine apo ndani yake
 
Mke angekuwa na pesa Wala asingekuomba ushauri.

Mwambie afanye kama mke anavyomsihi.
 
Kama anarudi usiku sana ni sawa tu.
 
Huyo sio mke bali ni girlfriend
 
Rudi ukachukue funguo, ukifika unakuta hajatoka ndani ya blanketi wa moto unapata kimoja ndo anaamka kukupa chakula cha mezani.
 
Wewe na jamaa yako mna vimwlea vya ufaller.
Mnalewa zenu wee hadi usiku wa manane halafu mnaporudi mnataka mfunguliwe.
Pili mnaambiana siri za ndani.
Wajinga sana nyie
 
Yaani kuna ufunguo mmoja tu!!!
 
Mwambie huyo jamaa yako kuwa ni meseji nzuri na kama yeye anapenda kufunguliwa aajiri mlinzi pia mshauri anununie automatic gate ili kupunguza usumbufu wa kufunguliwa geti endapo Kama ana usafiri.
 
Ukitimiza wajibu 100% hata ukirudi saa kumi yeye ataweka alamu saa 9 ili usigonge mda mrefu. Ila kama unasua sua na majukumu yako kwamba na yeye anaenda kutafuta kusaidia familia, chukua funguo tu.
Nawahurumia wanawake wanaotegemea 100% of their needs from their husband. 99.9% watakuwa wanateseka na kunyanyasika sana
 
Kama ratiba zako nikirudi usiku sana na kuna uwezekano ukawa na funguo sioni shida yoyote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…