Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Sana tu ,wako hadi 40 laborKuna wengi tu wanajifungua at 40 na hakuna cha complications, upasuaji wala nini
[emoji23][emoji23]mbona tunawezaWapo wengi sanaaaaaa
Wale mama zetu wanaokula ugali wa dona na kila aina ya mboga za majani.
Nakufanya kazi kutwa nzima na kutokwa jasho.
Lakini sio dada zetu wa chip, bia,
GB whatsApp na instagram.
Sent using Jamii Forums mobile app
Well said,Bora sie ME lakini si KE kuchelewaitapendeza ukimpata mtoto before that age, as utakua na nguvu na muda wa kulea...
Sana tu ,wako hadi 40 labor
Mbona inawezekana hata kwa sasa hivi..hakuna cha ugal wa dona sijui nn.. A woman is a woman... Na kama hao mama zetu waliweza hata sasa hivi inawezekana na nimeona wengiWapo wengi sanaaaaaa
Wale mama zetu wanaokula ugali wa dona na kila aina ya mboga za majani.
Nakufanya kazi kutwa nzima na kutokwa jasho.
Lakini sio dada zetu wa chip, bia,
GB whatsApp na instagram.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mda si mrefu tutaona ni kawaida sana kupata mtoto baada ya kufikisha miaka 30 ndio sahihi. ...Wengi wamekaririshwa tu mbona kuzaa at 40 ni kawaida kabisa. Hizo complication mnazosema zipo hata kwa wale wanao zaa at 20+.
Sent using Jamii Forums mobile app
FactWengi wamekaririshwa tu mbona kuzaa at 40 ni kawaida kabisa. Hizo complication mnazosema zipo hata kwa wale wanao zaa at 20+.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekuaminia kamanda, hata ID yako ina Kuunga mkono jamaa hakukosea alipowaimbia " strength of a woman " how amazing it is..Mbona inawezekana hata kwa sasa hivi..hakuna cha ugal wa dona sijui nn.. A woman is a woman... Na kama hao mama zetu waliweza hata sasa hivi inawezekana na nimeona wengi
Hahahahaha nashukuru mkuuNimekuaminia kamanda, hata ID yako ina Kuunga mkono jamaa hakukosea alipowaimbia " strength of a woman " how amazing it is..
Sent using Jamii Forums mobile app
Mke wangu nilimuoa akiwa na miaka 32,mpaka sasa tuna watoto watatu ,mmoja dume wawili wa kike wakiwa na afya njema na nzuri,na bibie hajapata na wala hana complication zozote zileWatu wengine wanaongea kwa sababu tu wamekaririshwa mwanamke anatakiwa azae before 30
Mjukuu hajamboWengine tuliingia 45 na tumetoka salama na mtoto mwenye afya
Mbona Sarah mke wa Ibrahim alipata mtoto akiwa na miaka 90 je Isaka alikuwa na akili kidogo ?