mchango mzuriWengi wao ambao hawana changamoto za afya/wenza wa kudumu huwa :
-waoga wa majukumu
-kupenda utoto /ujana uendelee kudumu maishani mwao
-kuogopa miili kulegea /kuzeeka
-uchoyo na kuendekeza starehe za ujanani
-kutokuwa na uhakika wa matunzo /kipato
-kuiogopa suluba ya labor /kuzaa kwa uchungu
-kuathiriwa na imani kwamba akizaa maungo yao yatatanuka(ashakum si matusi) kuwa na bwawa
-kuwa na historia ya kuumizwa kisaikolojia au kuteswa kimwili hapo awali hasa na wanaume.
Hayo ni maoni yangu tu.
sijui ila mara nyingi nimeona watoto wa mwisho kuzaliwa kwenye baadhi ya familia wamekuwa na akili sana,wakati baba ana miaka 55 mama ana 45
Ukisoma biology growth and development,seli za mwili hufa kadri umri unavyosogea haiwezi kuwa sawasawa kupata mtoto ukiwa na miaka 30 ukilinganisha na miaka 45sijui ila mara nyingi nimeona watoto wa mwisho kuzaliwa kwenye baadhi ya familia wamekuwa na akili sana,wakati baba ana miaka 55 mama ana 45
Mtotoo...!!Hii haiwez kuwa sawa ni kwa mama au mtoto mkuu
Depend na mentality ya mtuNaomba tujadili kidogo je kufikisha miaka 30+ kwa binti bila kuwa na mtoto kwa misimamo ya kusubiri Ndoa ni sawa au si sawa
Depend na mentality ya mtu
Maisha sio mshindano
If she is okay then is okay hata kama unaona sio sahihi ndo perception yake
Sidhan kama kuna sehem imeandikwa mwanamke lazima azae akiwa chini ya 30
All in all is choices na pia blessings
Sawa mkuu
Mtoto,Hii haiwez kuwa sawa ni kwa mama au mtoto mkuu
Kama ulishawahi kupata bahati ya kwenda kliniki ya uzazi,wajawazito walio chini ya cm 160,chini ya miaka 18 au juu ya miaka 30 huwa wanahuduma maalumu sidhani kama hospital wangefanya hivyo kama hakuna sababu za msingi,mimi naamini kubeba mimba katika magroup hayo matatu kuna shidaOk sawa
Kama ulishawahi kupata bahati ya kwenda kliniki ya uzazi,wajawazito walio chini ya cm 160,chini ya miaka 18 au juu ya miaka 30 huwa wanahuduma maalumu sidhani kama hospital wangefanya hivyo kama hakuna sababu za msingi,mimi naamini kubeba mimba katika magroup hayo matatu kuna shida
20 hadi 70Kwaiyo kwa uwelewa wako ni mda gani sahihi wa kubeba mimba
20-35kama umechelewa sana ,kwa nchi zetu masikini mimba ni ugonjwa,kama na wewe mzazi unakuwa na matatizo hali inakuwa mbaya zaidiKwaiyo kwa uwelewa wako ni mda gani sahihi wa kubeba mimba
Umeniaminisha maisha hayana formula ukiwa teyar kufanya kitu fanya no matter wengine watakichukuliaje