Ni sahihi mwanamke kufika miaka 30 bila mtoto kwa kigezo cha kusubiri ndoa?

Ni sahihi mwanamke kufika miaka 30 bila mtoto kwa kigezo cha kusubiri ndoa?

Nani anayeamua kwamba hicho kitu ni sawa au sio sawa.

Wabongo tupunguze muda wa kushughulika na maisha binafsi ya watu.

Acha kuwaza negative kila kitu tumia akili
 
Wapo wengi sanaaaaaa
Wale mama zetu wanaokula ugali wa dona na kila aina ya mboga za majani.
Nakufanya kazi kutwa nzima na kutokwa jasho.


Lakini sio dada zetu wa chip, bia,
GB whatsApp na instagram.
Kuna wengi tu wanajifungua wakiwa at 40 na hakuna cha complications, upasuaji wala nini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwenye negativity ni wewe. Kuna mambo mengine kama hili uliloleta hapa halihitaji mjadala. Wabongo tutaendelea kufeli.

Wewe ndounafeli kwa mawazo finyu ilo ni swali n lipo very open jibu lako linaweza kuwa na msaada kiushauri kwa mtu kama wengine wafanyavyo ila sababu unawaza na .....
 
Back
Top Bottom