Hapana mkuuIshi maisha yako rafiki, hata ingekua unagonga 38, bado sioni shida ikiwa hajapatikana mtu sahihi. Unataka kuniambia utajilengesha kwa mtu kisa unafukuzia umri?
changamka muda sio rafiki hasa kwa mwanamke.wengi wanaotaka kuoa wanafocus zaidi kwa mabinti wa 18-25.tena 25 bado mtu anaona mwanamke mkubwa.si unajua tena watu wanapenda watoto fresh umri mdogo ( inasemekana wanakuwa hawajatumika sana)
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana mkuu
ila imebidi nihoji maana masakamo yamekua mengi hata usipozaa kiafrika jiandae kupambana na changamoto
changamka shauri yako.38 hujazaa wala huna mtoto utapata sana changamoto tena watu wa kwanza kukusema watakuwa wanawake wenzako tena ndugu zako kabisa mfano mama yako,shangazi yako n.k.mimi nina uhakika hata wewe mwenyewe moyoni mwako unaona si sawa kukaa mpaka 38 bila mtoto wala kuolewa.tena huko ulaya ndo bora hata afrika.ulaya na marekani hakuna maadili watu wana wanajiachia tu.mapema tu mabinti wanazaa.huko binti anaruhusiwa kabisa kwenda kulala kwa boyfriend au boyfriend kwenda kwa binti na wazazi hawana noma sio kama huku bongoHapana mkuu
ila imebidi nihoji maana masakamo yamekua mengi hata usipozaa kiafrika jiandae kupambana na changamoto
aliyemuoa ni baba ako au mtu mwingine?Ntachangamkaje sasa, Hata ukiwapata watu nafasi unakuta nao hawana hata mpango[emoji847] au hajakuelewa miaka ndio inaenda ivyo mwisho tunazeeka.
Zama zimebadilika kweli umri wangu huu mama angu ana ndoa ya miaka6[emoji22] na watoto wawili
ni baba
Jipe matumainiHakuna formula
FactNakubaliana na wewe mkuu, lakini kuoa ni jambo moja na kupata watoto jambo lingine. Ni kweli wengi wanaoingia kwenye ndoa wanatarajia watoto lakini sio hitaji pekee linaloshikilia au kuimarisha ndoa.
Ukiona ndoa imeshikiliwa na watoto ujue hapo kuna shida kubwa sana.
Nnachotaka kusema malengo ya kuoa ndio yanasukuma mtu kuwahi au kuchelewa. Lakini hakuna sehem imewekwa umri maalum wa kuoa au kuolewa.
Mmeshajikatia tamaa na maisha
Mbona mnatutisha[emoji46]
maana wengine ikiingia 2021 tuna 28 tunakia tushavuka mpaka[emoji22]
Ndo niko na hiyo age kabisaa akii!!
Halafu unaniita aje dogo jamani
Hupaswi kutishika tafuta pesa mume wako yuko na atakuja saa na muda usioujua
Ukitaka kuona madhara ya kuchelewa kuingia kwenye ndoa,jicheleweshe,humu tunajifariji na kijidanganya
Hapo unakua umeshakata ringi...kwa lugha ingine unakua "umepingiliwa" punguza maringo watu wakuweke ndani...Mbona mnatutisha[emoji46]
maana wengine ikiingia 2021 tuna 28 tunakia tushavuka mpaka[emoji22]
hiyo haina shida.au waliachana hapo katikati.mimi sihesabii kama ni ndoa ya miaka 6 cause I guess hapo wameshaishi kwa zaidi ya 20 yrsni baba
Yesu ana miaka mingapi? Na hadi leo yupo kwa baba yake mkuu?Ni sahihi mwanaume kutimiza miaka 31 bado anakula kwa mama na kwa mashemeji zake?
Una miaka zaidi ya 25 ?Hilo ni tatizo lako binafsi unaniambia mimi ili iweje?
Sent From Galaxy S9