Ni sahihi Mwanamke kutimiza miaka 31 hajaolewa? Ukimuoa kuna faida hapo?


Sio ushamba bali hata mimi mwenyewe nashangaa but siku hizi mtu akiwa na pesa ana uwezo wa kujiweka vizuri. Ukiangalia maskini utaona haiwezekani lakini kwa matajiri wanaweza. Mtu anaangalia anakula nini na anafanya mazoezi gani na analala masaa mangapi. Kama huna uwezo lazima ukorongoke mapema.
 
Yani una mawazo kama yangu me mwenyewe nilishasema nikitaka kuoa Umri kuanzia 28 kwa sababu unakuta Mwanamke anajitambua vizuri zaidi, sio 22 au 25 hapo changamoto
 
Mara nyingi mwanamke uolewa akiwa na 23 mpaka 27 ni mara chache sana kukuta mwanamke mwenye nia ya kuolewa akiwa na 30+

Kinachopelekea wanawake kuchelewa kuolewa ni nini?

Tabia? Mwonekano? Au nini??

Chura!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…