Ni sahihi Mwanamke kutimiza miaka 31 hajaolewa? Ukimuoa kuna faida hapo?

Mara nyingi mwanamke uolewa akiwa na 23 mpaka 27 ni mara chache sana kukuta mwanamke mwenye nia ya kuolewa akiwa na 30+

Kinachopelekea wanawake kuchelewa kuolewa ni nini?

Tabia? Mwonekano? Au nini??
Mama yako alipewa mimba na miaka mingapi?
naomba jibu tuendelee na mjadala
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukinunua gazeti jioni unaakuwa umepoteza tu bure pesa maana linakuwa halina jipya habari zote zinakuwa zimeshapita muda. Sasa weka mtu hapo kwenye uhusika wa gazeti [emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sijui nijiweke tu mwenyewe

Mtuwache[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na nyie wenyewe ni magazeti ya jioni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuoa Mwanamke wa umri labda iwe kwa sababu maalumu

1. Awe ni mchumba wangu niliyekuwa naishi naye ndio maana kafikisha umri huo. let say nilimchukua akiwa na 24 tukaishi miaka sita au saba bila ndoa. Huyo nitaoa.

2. Awe ni mwanamke niliyemzalisha zamani, labda nilimpa mimba zamani then baada ya miaka kupita aje akiwa na 31+. hana mtoto mwingine isipokuwa yule wangu niliyemzalisha. Huyo nitamuoa.

3. Awe na miaka 31+ akiwa na bikra Huyo nitamuoa kwa mahari kubwa.


Tofauti na hapo siwezi oa Mzee wakati mabinti wapo
 
Vip kuhusu utamu wadau si ni uleule???
kwenye utam naona ni uleule labda kinachoweza kuleta shda ni kuona aibu mbele ya ndugu zako endapo utaoa mwanamke mwenye 28+
 
Wanawake wengi wakifikia miaka 30 huwa wanajikuta kwenye mahusiano yasiyo na malengo wanaliwa tu na kuhudumiwa ipasavyo ila bila ndoa na mwsho wa siku hupigwa mimba na wanaume tofauttofaut

GunFire
 
Yaani we jamaa kwenye points zako nilijua tu #3 haiwezi kukosa[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mara nyingi mwanamke uolewa akiwa na 23 mpaka 27 ni mara chache sana kukuta mwanamke mwenye nia ya kuolewa akiwa na 30+

Kinachopelekea wanawake kuchelewa kuolewa ni nini?

Tabia? Mwonekano? Au nini??

umalaya tuu tuuhamna lolote.
 
Ni sahihi na muda wake haujafika..last born wangu kaolewa na 21 ..dada yangu kaolewa na 34..kwahiyo sidhani Kama Kuna tatizo hapo Ni muda tu ndiyo waongea.
Hapo kwenye "Last born wangu wa miaka 21" nahisi kama unatupanga??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…