Ni sahihi Rais Traore kukutana na maraisi huko Russia akiwa na bastola kibindoni?

Traore lazima ajilinde kwa kuwa anaandamwa na machawa waliozoea kutafuna rasilimali za taifa.
 
Ni sahihi suala la usalama bado linaendelea kuwa kipengele katika miaka yake hii 2,

Lakini pia tukiangalia kwa mapana nazani suala la Usalama ni swala pana na ambalo linahitaji muda na si transition ya miaka 2.

Naomba tuangalie ni measure gani ambazo zimechukuliwa mpaka sasa ili kukabiliana na masuala ya kiusalama baada ya Kapteni Ibrahim TraorΓ©,

I. Tangu wanajeshi wa Ufaransa kuondoka Januari 2023, serikali inayoongozwa na jeshi la Burkina Faso chini ya Kapteni Ibrahim TraorΓ© imeimarisha uhusiano na Urusi. Takriban vikosi 300 vya wanamgambo wa Urusi viko chini kusaidia kulinda uongozi wa Burkina Faso.

II. Baada ya tukio la kigaidi lililotokea Agosti 24, 2024, katika eneo la Centre-Nord, Tukio hili lilipelekea raia kati ya 200 hadi 600 kuuwawa.

Hivyo mapema mwaka huu 2025, Burkina Faso, Mali na Niger zilitangaza kikosi cha pamoja cha askari 5,000 wa kupambana na ugaidi kutekeleza operesheni za kikanda, kwa matumaini ya kukabiliana vyema na tishio linaloongezeka.
 
Binafsi naona wapumbavu wengi ndo wanamshobokea
Umasikini mkubwa
Nchi ya 185/193
Yaani nchi ya 8 kwa umasikini duniani
Duu mbona ubongo wako umeshindwa kucheua kwann yeye anamuda gani madarakani ? Je huo muda alokaa madarakani unatosha kumaliza umasikini? Au umetumia pua kufikiria kuliko kunusa
 
Ulitaka awe na condom??
 
Iyo ni identity yake bana acha atambae nayo
 
Kijana mshamba sana. Lakini ndio Afrika yetu sasa. Tufanyeje sasa! πŸ™†πŸ™†πŸ™†πŸ™†
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…