Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Haswaa[emoji1][emoji1][emoji1] Asante kichwa kwahiyo niendelee kuwepo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haswaa[emoji1][emoji1][emoji1] Asante kichwa kwahiyo niendelee kuwepo
Alikuwa na nani[emoji1] [emoji1] [emoji1]Mtu wa kwanza kukata govi hakuwa Ibrahim
Hahahhaja, jina ako inatia genye,Nitake radhi mkuu nikeketwe ili iweje kabila langu halina hizo mambo kabisa yaan wanitoe utamu acha utani
Made of govi, dah [emoji109]Hivi haya magovi hayawezi kutengeneza bidhaa badala ya kuyatupa tu baada ya kutahiri tanzania ya viwanda yaja tuangalie tuyaganyie nini magovi
Du miaka 99!!?Sababu za mwanzo kabisa za kutoa govi ninazozijua mimi ni sababu za kiimani zaidi, ambapo mtu wa kwanza kabisa kukata govi alikuwa ni mzee Ibrahimu katika kitabu cha Mwanzo 17;10, pale Mungu alipofanya naye agano na kumuahidi kuwa atampatia uzao mwingi, na tena mzee Ibrahimu hapo kabla alikuwa akiitwa Ibraimu na baada tu ya kukatwa govi akabatizwa jina jipya akaitwa Ibrahimu, yeye alikatwa govi yake akiwa na umri wa miaka tisini na tisa (99). Hili ni agizo la Mungu Mwenyewe kwa Ibrahimu na kizazi chake chote na watumwa wake wote. Ila kwa siku za hivi karibuni nimewahi kusoma sehemu fulani ikitoa sababu za kutahiriwa ikiwa ni masuala ya kiafya zaidi. Niishie hapa.
acha buana kwahiyo hapo ulipo umeshamaliza kila kituHahahhaja, jina ako inatia genye,