Ni sawa kufanya tohara? Kwanini muumba aliweka govi?

Ni sawa kufanya tohara? Kwanini muumba aliweka govi?

Hivi haya magovi hayawezi kutengeneza bidhaa badala ya kuyatupa tu baada ya kutahiri tanzania ya viwanda yaja tuangalie tuyaganyie nini magovi
 
Sababu za mwanzo kabisa za kutoa govi ninazozijua mimi ni sababu za kiimani zaidi, ambapo mtu wa kwanza kabisa kukata govi alikuwa ni mzee Ibrahimu katika kitabu cha Mwanzo 17;10, pale Mungu alipofanya naye agano na kumuahidi kuwa atampatia uzao mwingi, na tena mzee Ibrahimu hapo kabla alikuwa akiitwa Ibraimu na baada tu ya kukatwa govi akabatizwa jina jipya akaitwa Ibrahimu, yeye alikatwa govi yake akiwa na umri wa miaka tisini na tisa (99). Hili ni agizo la Mungu Mwenyewe kwa Ibrahimu na kizazi chake chote na watumwa wake wote. Ila kwa siku za hivi karibuni nimewahi kusoma sehemu fulani ikitoa sababu za kutahiriwa ikiwa ni masuala ya kiafya zaidi. Niishie hapa.
Du miaka 99!!?
 
kama nilo ni la kuhoji,basi na la kukatwa kitovu pia pindi mtoto azaliwapo...nalo vipi..???.. maana mwenyezi mungu pia angeweza kufanya tukazaliwa kama vifaranaga..
kwa hiyo ni makusudi halali kabisa kwa m'mungu...
 
Adamu ambaye ndo mwanadamu wa kwanza Duniani alitahiliwa nanani ? Na kwanini Mungu alikosoa uumbaji wake !.Wakuu mukuje.
 
Back
Top Bottom