Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,548
- 28,817
Kampuni zinazojielewa huwezi kukuta wanaweka hizo gospel wala qaswida ni ujinga tu wa madereva na makondakta waoZa Tanga baadhi huweka kaswida, hivyo kila mtu huweka kuendana na imani aliyonayo (& ya watu wa mwendako)
Kapande gari la watu unao hisi ni dini yako ,hizo ni private property , labda kaamua kulenga abiria wa dini yake ila wewe ukajipendekezaAcha uHiyo sio private property ndio na discrimination kwa namna yoyote hairuhusiwi
Nilikwazika sana🤣🤣, jadili mada acha kulazimishia agendaBaada ya kusikiliza ulipata madhara gani?
Uislamu wako ulikuondoka?
Hizi bus za wachaga za Dar-Arusha -Moshi hazina tofauti na kanisa ukipanda🤣🤣, hadi muhudumu anajida mchungajiKampuni zinazojielwa huwezi kukuta wanaweka hizo gospel wala qaswida ni ujinga tu wa madereva na makondakta wao
Sijaelewa umeandika kitu ganiNilikwazika sana🤣🤣, jadili mada acha kulazimishia agenda
Inshort hakuna maudhui yanayopendwa na kila mtu hasa mnapokuwa kwenye kundi la watu wengi, utaweka mpira ila sio wote wanapenda mpira, utaweka Taarabu Ila sio wote wanapenda taarabu.Kuna uzi niliona twitter x wanalalamika Azam media kuweka movie za kutiwa maneno ya kiswahili zenye maudhui ya dini fulani 🤔
Kwamba watu wote wanapenda hayo uliyoandika hapo?Kuna mabasi huwa naona wanaweka bongo movies, movies za mambele, comedy, miziki ya bongo na nje
Kampuni zinazojielwa huwezi kukuta wanaweka hizo gospel wala qaswida ni ujinga tu wa madereva na makondakta waK
Tilisho, BM, Esther, Kilimanjaro wajirekebishe🤣. Kuna namna nguvu ya wamiliki iko nyuma ya hayo maudhui🤣Hizi bus za wachaga za Dar-Arusha -Moshi hazina tofauti na kanisa ukipanda🤣🤣, hadi muhudumu anajida mchungaji
Kama taarabu hata kama nimekata tiketi naweza itelekeza nikashuka hata poriniInshort hakuna maudhui yanayopendwa na kila mtu hasa mnapokuwa kwenye kundi la watu wengi, utaweka mpira ila sio wote wanapenda mpira, utaweka Taarabu Ila sio wote wanapenda taarabu.
Kwa mfano hizo movie za Azam, hao wenye dini inayozungumzwa hapo watafurahia na wengine watachukua, hii n kuonyesha hakuna maudhui yatakayompendeza Kila mtu.
Labla kusiwe na hizo TV kabisa.
Unaandika nn hi, em Amka ukanawe usoNilikwazika sana🤣🤣, jadili mada acha kulazimishia agenda
Ila hapo hapo kuna wngn wanapenda.Kama taarabu hata kama nimekata tiketi naweza itelekeza nikashuka hata porini
Hahaha mimi huwa nahisi madereva na makondakta na mkurugenzi wanakuwa na kaimani kuwa basi likipiga nyimbo za dini linakuwa linalindwa na damu ya Yesu likiwa safarini.Hizi bus za wachaga za Dar-Arusha -Moshi hazina tofauti na kanisa ukipanda🤣🤣, hadi muhudumu anajida mchungaji
Upuuzi wa kwanza unaanzia kwenye sauti, Unakuta muziki wa kipumbavu afu sauti ipo juu knoma mpaka abiria wa nje wanasikia, Hua nakereka Sana aiseeKwanza kupiga mamiziki bila kujali ni mziki gani ni kero na kupigiana kelele tu.
kunna kutokupenda, na kuna kurekeka na kitu🤣. Kwani bank wanawekaga gospel? Basi weke gospel nyimbo moja afu ikiisha waweke qaswida pia nyimbo moja🤣🤣Inshort hakuna maudhui yanayopendwa na kila mtu hasa mnapokuwa kwenye kundi la watu wengi, utaweka mpira ila sio wote wanapenda mpira, utaweka Taarabu Ila sio wote wanapenda taarabu.
Kwa mfano hizo movie za Azam, hao wenye dini inayozungumzwa hapo watafurahia na wengine watachukua, hii n kuonyesha hakuna maudhui yatakayompendeza Kila mtu.
Labla kusiwe na hizo TV kabisa.
Ni mziki gan tunaweza kujali ili tukipiga kila mtu afurahie ndani ya gari?Kwanza kupiga mamiziki bila kujali ni mziki gani ni kero na kupigiana kelele tu.
Na vp ambao hawana dini hizo, c bado watachukia na kukereka?kunna kutokupenda, na kuna kurekeka na kitu🤣. Kwani bank wanawekaga gospel? Basi weke gospel nyimbo moja afu ikiisha waweke qaswida pia nyimbo moja🤣🤣
Hahaha mimi huwa nahisi madereva na makondakta na mkurugenzi wanakuwa na kaimani kuwa basi likipiga nyimbo za dini linakuwa linalindwa na damu ya Yesu likiwa safarini.
Hakuna.Ni mziki gan tunaweza kujali ili tukipiga kila mtu afurahie ndani ya gari?
KabisaIla hapo hapo kuna wngn wanapenda.
Ndo ujue hakuna chcht kitakachokuwa Sawa kwa kila mtu.