Ni sehemu gani nzuri kwa kumtoa out mwanamke unapokutana naye siku za mwanzo?

Ni sehemu gani nzuri kwa kumtoa out mwanamke unapokutana naye siku za mwanzo?

Tafuta Mkahawa mzuri mjini sehemu tulivu kama KFC kariakoo au Mikocheni, Restaurant zilizoko maeneo mazuri kama Posta, Malls (Mlimani city, Quality Centre, City mall, Mkuki House, Habour View Towers etc) Capetown fish market, Steers,City Garden pale Gerezani etc
Sehemu ambayo haina makelele mnapata chakula na soft drinks kwa utulive na maongezi yenye bashasha na tabasamu mwanana mkiangaliana machoni kwa kuibia.
NB:Sehemu utakayoichagua ni lazima ufike kabla(siku moja kabla ya tukio au masaa kadhaa kabla ya kumuita) kufanya survey ujue mazingira yote ikiwa ni pamoja na kuomba Menu na kujua bei za vyakula na vinywaji, ujue wash room ziko wapi. Angali mfuko wako kama unaruhusu kisha mpeleke hapo. Akija mhudumj ww utakua ushakua mwenyeji sana akileta menu unamuambia bibie achague chochote anachotaka(hapa unakua na confidence kwa sababu maximum price ya chakula unaijua) then wewe agiza bila kuangalia menu kwa sababu ushajua cha kuagiza before. Akitaka kwenda haja unamuelekeza washroom zilipo. Kwanza atakuona mjanja na hiyo sehemu sio mara yako ya kwanza kufika.
Fanya hii utaleta Mrejesho.
 
Mtoe out for coffee, msikariri kila siku dinner tu.
kama yuko smart upstairs atapenda the idea ya coffee kwasababu huko coffee shop mtakuwa na serious talk pia ata-xperience the difference.
 
kama sio mke wa mtu mpeleke bar mnyweshe asikatae game halaf mpeleke gesti.. ila kama mke wa mtu mpeleke beach umgegede kwenye maji ili ukifumaniwa ujifanye samaki upotelee kwenye maji..!!!
😀😀😀😀😀
Umenichekesha sana aiseeee kwenye maji sijui kama unafaidi bwana maana mnahofu tu kuzama.
 
Tatizo mahindi yamekauka saiz...mtaonekana.Basi tafutatafuta sehemu yoyote salama
 
Mpeleke Mariedo. Blouse 1 tu 300,000 dadek! Utajuta kumfahamu.
 
mpeleke mkuki house then muingie pale pizza hut agizeni pizza yenu ya elfu 8 inawatosha na coke zenu za baridii.
Hata KFC unaweza mpeleka usitishwe na mazingira kuna vitu vya kula bei rahisi tu
 
Kiutaratibu unaweza kwenda naye kwenye maakuli ama mgahawa,au hata kupata vinywaji baridi/ kahawa.

Utapata kumsoma anavyokuwa katika kadamnasi, kamaanajua ustaarabu wa maakuli, kamaanajali watu ambao hawana cha kumpa kama wahudumu au ana kisirani, kama msafi, kama ana papara ya kurukia vitu au katulia etc.

Waungwana ndiyo hufanya hivyo.
 
Back
Top Bottom